Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mbona kwenye app store haipo..?? Inapatikana wap ??
Haipo bado,
Lakini hapo nimeiuliza WHO ARE YOU?..
Ikanijibu hivyo kwenye attachment
 
Attachments

  • Screenshot_2023-01-15-18-14-36-06.jpg
    Screenshot_2023-01-15-18-14-36-06.jpg
    63.5 KB · Views: 25
Nimeiuliza kwanini haipo kwenye app stores mbalimbali ikanijibu hivyo kwenye attachment....
 
Attachments

  • Screenshot_2023-01-15-18-19-22-41.jpg
    Screenshot_2023-01-15-18-19-22-41.jpg
    79.6 KB · Views: 25
Wewe na huyu Gushleviv mnaongelea kitu ambacho hamkijui.

Kuna wimbi la cheap developers lakini the real geeks wa code wanapungua kila kukicha, chanzo kikubwa ni issue kama hizo. Maisha kurahisisha sana inafikia muda innovation itakufa. Ili mtu uweze kuvumbua mambo inabidi uwe na deep knowledge kwenye fani husika au uwe na watu wenye hio deep knowledge. Na ndo maana watu wenye uwezo mkubwa wa kudesign na kuinnovate products wanapenda kuwa na timu ndg ndg ila za vichwa, angalia mfano wa elon musk, ndo maana alipofika twitter kitu cha kwanza alianza kupunguza developers uchwara.

Mimi nimefanya kazi na Code wranglers wa makampuni mawili makubwa ya internet, ni vichwa haswa na kila nikifikiria naona vichwa kama hvo ni ngumu kuja kuvipata miaka ya mbeleni huko. Mtu anaejua exactly codes zikienda zinafanya nn at each and every step. We unadhan kutengeneza hizo ecommerce app au fintech app ndo kuwa developer? Hayo mambi sasahv naclick tu na tyr inatengenezwa, na hizo tool zitareplace devs uchwara wote mnaowasupport na huo ujinga.

Innovations kama Torrent, Blockchain etc... zilitokea sababu watu waliotengeneza walikua na deep knowledge ya wanachofanya.

Lkn haina haja kubishana na watu hapa as long as najua me and my house we are safe. Naongea kwa faida ya wanaofikiria kwa upeo zaidi.
Wewe ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa Developer hatakiwi kwenda Google [emoji23][emoji23]. Programming nimesoma nje ya nchi na kulikuwa na special course tunaelekezwa how to Google effectively.
Fix your attitude bro.
Ooh and by the way tech innovation zote hazianzi from scratch we all stand on top of the shoulders of the giants. I know some guys ambao mpaka sasa hivi navyoandika wametumia chatgpt ku innovate product zao mpya. Unaposema chat gpt inapunguza ubunifu si kweli.
 
sishangai wewe ni mmoja wa hao developers wanaokimbilia 'libraries' na 'modules' 'kurahisisha' kazi

haya sasa em ingia ndani ya hiyo 'library' ongezea kitu fulani kiduchu, au ondoa/rekebisha ifanye namna hii, unabaki unang'aa sharubu
[emoji23][emoji23] Yaani kuna watu mnachekesha sana. Dunia ya leo bado mnaamini programmer hatakiwi kutumia libraries?
Kwaiyo bado kuna watu mnaamini programmer wa kweli ni yule anayeshusha vitu from scratch???? [emoji23] [emoji23]
 
sishangai IT wa Bongo kuitwa wa mchongo, wazee wa ready-made plugins, template na module
shuka raw code hapo, hamna kitu
mnapenda mteremko
Haya, tupe mfano wa IT wa Bongo anaependa mwinuko tuone mafanikio yake ili tuwe na benchmark ya kuwahukumu hawa wanaopenda mteremko!🤔
 
Haya, tupe mfano wa IT wa Bongo anaependa mwinuko tuone mafanikio yake ili tuwe na benchmark ya kuwahukumu hawa wanaopenda mteremko!🤔
mnategemea GPT i-generate code wewe umekaa tu, bure kabisa, waKenya watazidi kuwapiga bao aisee
tena unajiita 'developer', labda wa mchongo
 
mnategemea GPT i-generate code wewe umekaa tu, bure kabisa, waKenya watazidi kuwapiga bao aisee
tena unajiita 'developer', labda wa mchongo
Mimi nimeomba mfano mkuu, mfano mmoja tu; tuachane na Wakenya kwa sasa.
 
Mimi nimeomba mfano mkuu, mfano mmoja tu; tuachane na Wakenya kwa sasa.
nakutolea waKenya maana ndiyo wanaowazidi kimaarifa na kiujuzi, wamejaa huko kwenye freelancing webs, IT wa kibongo wa mchongo leo hii anafurahia GPT imrahisishie ku-code, mnachekesha sana
 
nakutolea waKenya maana ndiyo wanaowazidi kimaarifa na kiujuzi, wamejaa huko kwenye freelancing webs, IT wa kibongo wa mchongo leo hii anafurahia GPT imrahisishie ku-code, mnachekesha sana
Still hujatoa mfano, unazunguka tu huko Kenya 😉 . Na kwamba Wakenya wapo kwenye Freelancing websites haimaanishi hawatumii Chat GPT, kwahiyo hoja yako haina msingi. Infact, ni kawaida sana hata kwa experienced programmers kutumia "Tools" za kuwasaidia kurahisisha kazi. Vinginevyo kama unaongea kwa hisia bila kufanya utafiti.
 
Nadhani tuna attitude za kizamani. Ndio maana mpaka leo tunashangilia kuwa na Makomandoo wenye uwezo wa kubeba magogo ya kilo 200! Kwamba Komandoo wa ukweli ni yule anaekaanga kokoto kwa mikono[emoji1787][emoji1787][emoji1787] like seriously, katika karne ambayo watu wanapigana vita kwa drones! Karne ambayo watu wanatafuta namna ya kufanya mambo kwa spidi - badala ya kutumia mwezi mzima kuandika code wanatafuta namna ya kutumia masaa kuandika code ile ile.

Naungana na wewe kuwa innovations haimaanishi zote zilianza kutoka sifuri; infact Apple waliiba ideas, Meta wanaiba ideas kila siku,... na kuna kampuni inaitwa Rocket Internet yenyewe imejikita kwenye kuiba ideas na ku-execute fast!

So, Chat GPT ni zana kama zana zingine - kwamba unaitumiaje hiyo ni juu yako. Wasiotaka kuitumia kila la heri, lakini dunia ndio inaenda hivyo.
Well said mkuu wangu.
 
Still hujatoa mfano, unazunguka tu huko Kenya 😉 . Na kwamba Wakenya wapo kwenye Freelancing websites haimaanishi hawatumii Chat GPT, kwahiyo hoja yako haina msingi. Infact, ni kawaida sana hata kwa experienced programmers kutumia "Tools" za kuwasaidia kurahisisha kazi. Vinginevyo kama unaongea kwa hisia bila kufanya utafiti.
jipeni moyo
 
IT wa kibongo wengi maneno meengi ila products zenu hatuzioni..siku zote mnaibuka kwenye kukosoa vya wenzenu. AI ndio future labda kama bado umekariri. Hata umeme ulipogunduliwa kulikuwa na maneno mengi sana against kutoka kwa walioshindwa kuona mbali.
Mkuu yawezekana uko sahihi bt AI bado ni debatable hata huko ilipoanzia kaangalie tweet ya Jana ya Elon Musk, japo yupo kwenye tech bado amekuwa skeptical kwenye AI kwa mda mrefu licha ya kushiriki kuanzishwa kampuni za AI, kasome pia Steve Hawking ameandika nini kuhusu AI, msome ProfessorYuval Noah Harari wa Hebrew University Isarael na ktabu chake cha Homodeus mtu atayekuja baada ya AI ku-take place, kama unasoma vitabu vya conspiracy msome David Icke, kama ni mtu wa dini inahusishwa na mpinga kristo kwa waislamu wanajina lao.
Kasome future ya big pharma.
AI na cloud computing inaenda kutengeneza evolution nyingine
Watu wengi wanafurahia faida za AI ambazo kila mtu anazijua, tuwaache pia wale wanaojaribu kuonyesha madhara yake waonyoshe then tupime kama tunaweza take risk.
NB: AI ipo toka miaka ya 1920s lakini mpaka leo ni debatable, fikria miaka 50 au mia ijayo AI itakuwa wapi.
Kinachohofiwa zaidi ni fusion ya biology na technology.
 
na snippets za code unachukua huko eeh

matokeo yake hi haya

na snippets za code unachukua huko eeh

matokeo yake hi haya

Siku zote mtu anae-generalize ni muongo! Generalization is always wrong. Kwanini apeleke project Rwanda na sio Kenya alikompata alie-test. Na pia, hata huko Kenya, Rwanda kuna wapigaji vile vile kama ilivyo sehemu zote duniani kama Tanzania.

Udhaifu wa watu wawili, au kampuni mbili haiwafanyi developers wote kuwa ni dhaifu. Kwahiyo siwezi kukubaliana na yeyote anaetoa mtazamo wa jumla eti kisa alifanya kazi na washkaji zake wawili wakamwangusha!
 
hapana, jamaa amepiga kwenye mshono na yupo sahihi kabisa

jiulize kwanini kwa freelancing webs kwa EA, wakenya wanakimbiza ? jibu ni kwakua Bongo soko hamliwezi

wabongo mnazingua , kama mnategemea GPT na kujipongeza kabisa yana-generate snipppets za code unaserereka, mnazidi kua vilaza na wajinga

unapewa kazi simple, mbongo anakimbilia frameworks maana raw hawezi, frameworks na ready-made modules zimemdumaza, mkenya ana shuka raw chap fasta kamaliza ana-submit kazi, review safi ile pale,
 
Alright, I hope na wewe ni Mkenya pia; maana uko loyal sana kwa nchi yako! 👏👏👏 Na umejitahidi kutupatia "facts" kutokana na unachokiona kwenye Freelancing Webs. Acha wabongo tujitahidi kujifunza kwa nyie wenzetu wakenya!🙌

Lakini still, yeyote anae-generalize ni muongo.
 
sishangai wewe ni mmoja wa hao developers wanaokimbilia 'libraries' na 'modules' 'kurahisisha' kazi

haya sasa em ingia ndani ya hiyo 'library' ongezea kitu fulani kiduchu, au ondoa/rekebisha ifanye namna hii, unabaki unang'aa sharubu
Acha wewe, kutumia libraries or frameworks sio kwamba hujui zinasaidia kurahisisha kazi & faster, kutumia vanilla JS sio kwamba unajua kuliko wanaotumia Reacts or Angular, na nani siku hizi anafanya kazi bila frameworks & libraries, kampuni zote hizo bila hizo stack hupati kazi hata kama unajua native language
 
Back
Top Bottom