Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Google wanatetemeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ni suala la muda tu, wali-relax sana. Kama wao walivyoipoteza Yahoo, wakileta masihara yatawakuta kama yaliyowakuta Nokia na BlackBerry kwenye ulimwengu wa simu.Google wanatetemeka View attachment 2482871
Kuwa na "Deep Knowledge" ya unachokifanya na "Ku memorize syntax" ni vitu viwili tofautiWewe na huyu Gushleviv mnaongelea kitu ambacho hamkijui.
Kuna wimbi la cheap developers lakini the real geeks wa code wanapungua kila kukicha, chanzo kikubwa ni issue kama hizo. Maisha kurahisisha sana inafikia muda innovation itakufa. Ili mtu uweze kuvumbua mambo inabidi uwe na deep knowledge kwenye fani husika au uwe na watu wenye hio deep knowledge. Na ndo maana watu wenye uwezo mkubwa wa kudesign na kuinnovate products wanapenda kuwa na timu ndg ndg ila za vichwa, angalia mfano wa elon musk, ndo maana alipofika twitter kitu cha kwanza alianza kupunguza developers uchwara.
Mimi nimefanya kazi na Code wranglers wa makampuni mawili makubwa ya internet, ni vichwa haswa na kila nikifikiria naona vichwa kama hvo ni ngumu kuja kuvipata miaka ya mbeleni huko. Mtu anaejua exactly codes zikienda zinafanya nn at each and every step. We unadhan kutengeneza hizo ecommerce app au fintech app ndo kuwa developer? Hayo mambi sasahv naclick tu na tyr inatengenezwa, na hizo tool zitareplace devs uchwara wote mnaowasupport na huo ujinga.
Innovations kama Torrent, Blockchain etc... zilitokea sababu watu waliotengeneza walikua na deep knowledge ya wanachofanya.
Lkn haina haja kubishana na watu hapa as long as najua me and my house we are safe. Naongea kwa faida ya wanaofikiria kwa upeo zaidi.
Huyu jamaa kali linux bado mtupu mnoo, basi tu kuna empty heaf wenzie humu JF ndio huwa anawakimbiza.Kuwa na "Deep Knowledge" ya unachokifanya na "Ku memorize syntax" ni vitu viwili tofauti
Kama unahisi ku leverage AI tools kama ChatGPT au Github Copilot kwa ajiri ya ku elewa, ku comment, au ku debug codes zako
ni uvivu wa "Kufikiri" au kuna kufanya uwe "Cheap developer" kuna onyesha jinsi gani ulivyo "Empty".
Hao hard core developers unao wazungumzia, (cause obvious wewe sio mmoja hao) uelewa wao mpana wa kuja na ku solve matatizo kwa haraka au kwa ufanisi haupo kwenye ku memorize syntax au kususa kutumia leverage ya Libraries, Frameworks au Development tools zilizopo kama unavyohisi, bali upo kwenye kujua fundamental concepts za Software Development ambazo hazina mahusiano yoyote ya kukariri syntax au kutotumia codes walizo andika wengine
Mfano cryptography algorithm iliyotumika kwenye original implementation ya Blockchain uliyo tumia kama mfano hapo juu ni SHA-256 iliyokua designed na NSA, kwanini Satoshi haku design algorithm yake mwenyewe kwa task hio from the scratch? kwanini alitumia leverage ya SHA-256 ?
Hizi tools hazipo kuwafanya watu vilaza kama unavyo hubiri hapa, zipo kuwafanya watu wawe productive
Kama unahisi wewe ni "smart developer" utabaki kuwa hivyo, ChatGPT inakupa extra leverage
Yep and it will get worse, kwa sasa US college students ndio wanarudi for spring semister🤣🤣
Asante ngoja nijaribuHiyo siyo yenyewe, ingia kwenye website yao kabisa ya chat.openai.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ww pia sijaongelea kumemorize syntax kwenye hoja yangu yoyote ile. Huna tofauti na jamaa mmoja alonambia napinga google search. Na unasemea kuhusu Copilot? Wapi nimeongelea copilot?Kuwa na "Deep Knowledge" ya unachokifanya na "Ku memorize syntax" ni vitu viwili tofauti
Mkuu unapoteza heshima yako kwa kuonesha ujinga wako hadharani na kukosa msimamoHuyu jamaa kali linux bado mtupu mnoo, basi tu kuna empty heaf wenzie humu JF ndio huwa anawakimbiza.
Labda kama una program in assembly 🤣 , ila kwa job market ya sasa (US) huwezi avoid libraries & flameworks is like a must have, React developer easily anachukua 100,000$, wewe waite cheap & soft lakini ndio wanaohitajikaNa ww pia sijaongelea kumemorize syntax kwenye hoja yangu yoyote ile. Huna tofauti na jamaa mmoja alonambia napinga google search.
Na Nikisema deep knowledge namaanisha kuelewa language exactly na namna inavofanya kazi ili kuleverage advantage zake na kuepuka madhara ya disadvantagess zake. Mtu anaetengenezewa code utakuta hata haelewi simple concept kama Garbage collection.
Wewe nakujua ni mfuasi wa frameworks "cheap, soft developers" na tayari tulishabishana sana kuhusu hilo so najua mentality yako, haupo kwenye dimension yangu kudiscuss any technical stuff, hata kukuquote nimekuquote kwa faida ya wanaofuatilia huu mjadala.
I repeat, siwezi force ufikirie kama nnavyofikiria mimi sababu kila mtu ana uwezo tofauti, lakini future ndio itakayoongea kama mm au ww nani yuko sahihi.
Achana na hii katumie you.com/chat ni kama fork ya chatGPT. Zinafanana kwa mambo mengi sanaNajaribu kuitumia inaniambia huu ushuziView attachment 2483964
Nani anasoma frameworks/ libraries bila foundational languages (at least some basics), issue ni wewe unayeita watu soft cheap developer wanaotumia libraries, anyway to each his ownOna sasa, ndo maana nliacha kabisa kuongelea kuhusu tech humu jf, coz watu akili ndogo sana kama wewe.
Hii ni topic ya chatGPT, kasome mjadala wangu na huyu jamaa kuhusu frameworks na ndo comment yako ukaweke kule. Sipingi frameworks lkn napinga kutumia frameworks bila kuwa na foundational knowledge. Mm nimeanza kuandika code zamani na nimeona frameworks zinakuja na kupotea, sasa kama huna knowledge ya underlying tech, mfano js kwa react, au php kwa laravel hizo framework zikifa kazi utafanya wapi.
Na kwa taarifa yako Mkuu nakunja minimum 20 usd per hour kuandika react projects
Mbona wanakulipa minimum wage, wewe ni developer kweli?Ona sasa, ndo maana nliacha kabisa kuongelea kuhusu tech humu jf, coz watu akili ndogo sana kama wewe.
Hii ni topic ya chatGPT, kasome mjadala wangu na huyu jamaa kuhusu frameworks na ndo comment yako ukaweke kule. Sipingi frameworks lkn napinga kutumia frameworks bila kuwa na foundational knowledge. Mm nimeanza kuandika code zamani na nimeona frameworks zinakuja na kupotea, sasa kama huna knowledge ya underlying tech, mfano js kwa react, au php kwa laravel hizo framework zikifa kazi utafanya wapi.
Na kwa taarifa yako Mkuu nakunja minimum 20 usd per hour kuandika react projects
Hakuna serious React developer analipwa 20$ hata kama ni minimum, nina wasiwasi kama wewe ni developerSamahani lakini, naomba nikuite MPUUZI
Wewe ni mpuuzi kwa sababu nimeandika nakunja "minimum" 20 usd per hour na unakuja kuuliza swali la kipuuzi tena.
Usitoke kwenye mada, hapa tunaongelea chatGPT
Tafuta namna ya kuitumia kutengeneza pesa, hata walioanzisha uber walitumia technology nyingine kama internet na GPSYaan mwaka namaliza tu chuo na vitu vizuri ndo vinagunduliwa aisee, hii ningekuwa first year GPA ya 4+ ingenihusu
Ni kweli kabisaTafuta namna ya kuitumia kutengeneza pesa, hata walioanzisha uber walitumia technology nyingine kama internet na GPS