Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Shida mtaji! kwanza kurun hizo servers mara ya kwanza imetoma walisema qanatumia karibu bls 1.5 za kitanzania daily kurun servers
Hili ndio janga ukiongeza na mengine kwenye utaalamu na ubobevu
 
mzee Matawi ya juu hii takataka yako ndiyo ya ku-replace software engineer kweli ?
 
Ulitumia English iyonyooka au Kiswahili fasaha? Maana kuna watu huwa wanailaumu hata Google kumbe ni wao hawajui namna ya kuinquire
 
ChatGPT bado haina uwezo wa kufanya 2 variable unknown ikakupa majibu sahihi hilo linajulikana

Hesabu zisolve mwenyewe
 
ndio maana nassma ukitaka vitu vizuri lipia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama kiingereza kinakupiga chenga ukiona tu kuna kitu cha kulipia jaribu uwe unatafuta hata watafsiri sio kukurupuka, Chat gpt ya bure na ya kulipia majibu ni yale yale tu isipokua ya kulipia unaweza kuiuliza hata maelf ya maswali kwa siku ila ya bure ipo limieted unauliza maswali machache tu kama 10 hivi,
 
mh mbona me huwa naiuliza maswali mengi tu..isipokuwa ile AI ya Whatsapp ndio ina limit ya maswali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chat inategemea na unavyouliza na ujuzi wako wa kuitumia, mwanzoni na mimi nilikuwa napata shida ya kuitumia lakini nilikuja kugundua kwamba namna nilivyokuwa naitumia.

ila some time inawezakuwa na makosa lakini asilimia kubwa ni uwezo wako wa kuitumia.
 
Muda mwingine tunaichanganya tu. Unakuta mtu kauliza kama anajibu. Yaani hajazingatia alama muhimu, sentensi imenyoka mpaka mwisho hakuna mkato wala kiulizo achilia mbali makosa ya wazi ya maneno.
 
Msifikiri kuwa chatGPT ni suluhisho la maswali yote, hapo tunapata tu usaidizi ila conclusion ni kichwani mwako. Yapo maswali mengi tu inajibu tofauti na ilivyoulizwa.
Yeah. Inabidi wengi wetu tuwe na mtazamo kama huu ili tuone msaada wake.
Naunga mkono hoja yako mkuu.
 
Muda mwingine tunaichanganya tu. Unakuta mtu kauliza kama anajibu. Yaani hajazingatia alama muhimu, sentensi imenyoka mpaka mwisho hakuna mkato wala kiulizo achilia mbali makosa ya wazi ya maneno.

Ndio mkuu watu wanajichanganya sana, ila ukiwa mtumiaji mzuri unaweza kugundua makosa wewe mwenye unavyojichanganya kuuliza maswala.
 
Usijekuta unatumia free version yenye GPT-3 models, jaribu pro version yenye GPT-4 afu rudi utoe majibu tena.

Usitumie app za playstore tumia ile web based.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…