Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Wa
Wajinga wasiopenda kusoma contents itawasaidia sana!
Mfano hapo hiyo AI ghost inaandika moja ya tatizo Tanzania ni political instability sababu ya coups!!!
Coups in Tanzania ?!! Wajinga sana nyie!
 
Unaongea na computer na inakujibu kama shangazi yako! Iiulize kama ni ke au me kisha iombe show, tutumie screen shoot [emoji848]
 
Wa

Wajinga wasiopenda kusoma contents itawasaidia sana!
Mfano hapo hiyo AI ghost inaandika moja ya tatizo Tanzania ni political instability sababu ya coups!!!
Coups in Tanzania ?!! Wajinga sana nyie!
Is not perfect yet, wewe ndio mjinga kupuuza revolutionary technology kama hii, hata kama imekosea hapo nina uhakika wewe hata robo ilichoandika huwezi kuandika kwa akili yako, wewe ni zaidi ya mpumbavu
 

Inaandika vitu general na sio vitu specific...

Hatujawahi kuwa political unstable wala kuwa na coups...
 
I have used it . For weeks now 😔 watoto wetu wakiijua hii elimu ya homework its over . It can write codes zote na debugging the code , songs , content , emails , anything writable ina fanya . Developers watakuwa na kazi simple sana codes za weeks in 1 sec . App creation , website etc . Yani it will take over the tech industry vibaya sana . Programmers kaeni chonjo
 
Do you know jamiiforums?


Jamiiforums is a forum website that is popular in Tanzania. It is a platform where users can discuss a wide range of topics, including news, politics, sports, entertainment, and more. The website was founded in 2007 and has since grown to become one of the most popular online communities in Tanzania.


i like jamiiforums, like a poem about it


Sure, here is a poem about Jamiiforums:

Jamiiforums, a place to share
Ideas, thoughts, and show you care
For topics near and topics far
There's something here for every bzar

From news to politics, sports to art
Jamiiforums keeps the conversation smart
A community of diverse views
A place to learn and share your news

So come and join the Jamiiforums crowd
And share your thoughts out loud
A friendly place for all to thrive
Jamiiforums, a community alive!
 
Ina apk
 
translate in swahili


Sure, here is a translation of the poem into Swahili:

Jamiiforums, nafasi ya kushiriki
Mawazo, maoni, na kuonyesha unataka
Kwa masuala yako na yako mbali
Kuna kitu hapa kwa kila mtu

Kutoka habari mpya hadi siasa, michezo hadi sanaa
Jamiiforums inapata mjadala wa akili
Jamii ya maoni tofauti
Nafasi ya kufurahia na kushiriki habari zako

Hivyo kuja na kujiunga na jamii ya Jamiiforums
Na kushiriki maoni yako kwa sauti nzito
Nafasi rahisi kwa kila mtu kuendelea
Jamiiforums, jamii inayoishi!
 
Is not perfect yet, wewe ndio mjinga kupuuza revolutionary technology kama hii, hata kama imekosea hapo nina uhakika wewe hata robo ilichoandika huwezi kuandika kwa akili yako, wewe ni zaidi ya mpumbavu
Wewe ndiye mpumbavu unayeamini kila kitu bila kuchuja wala ku-digest!
Kuna kitu kinaitwa " mens rea"! Hicho hiyo AI hakiwezi kuwa nacho kwasababu ya kuwa iko programmed! Hiyo mens rea ni Natural Intelligence na siyo Artificial Intelligence na hivyo perfection haiwezi kufikiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…