Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
KWANZA:
1. Learn marketing.
2. Learn machine learning.
3. Compile social data.
4. Train a custom model.
5. Use the model to offer useful services.
Mfano tourism itafaidika sana kupitia AI cha muhimu ni kuwa na vitendea kazi na ujuzi wa kutrain a custom model.
Ipo hivi mfano ukitrain custom model kwa kuifeed text data za kiswahili basi nayenyewe itaweza kufanya mambo mengi na kutoa majibu mengi kwa kiswahili. Ukii train Kijerumani same applies, etc etc.
Tourism inahitaji sana tools za ku interact mfano mtalii kutoka Sweden hajui hata Kingereza na anapoandaa travel plan yake anategemea sana TripAdvisor ya kisweden. Same applies kwa maraifa mengi ya Ulaya.
So unaweza kuja na AI based tour guide web and mobile app. Ikawa na lugha labda nane hivi.
Monetization strategy lazima uwe na tour agents kadhaa ambao utasaidia kuwapa wateja na wa subscribe kwenye mfumo wako.
Pia unaweza kuwa na online tutor wa lugha zote duniani kupitia AI. Ujuzi na uwezo wako wa kukusanya data (be it text or numbers) na kutrain custom model ndo utadetermine your success.
Smart