Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Ujanjujanja tu. Hii program inatoa maelekezo sawa na Yale ya google tofauti na google ni kuwa hii inaandika text Kama rejea ikiwa kwenye mjongeo huku google ikipest text tu amabazo hazijongei. Hakuna jipya joh
Huelewi.....Go educate yourself please
 
Ndio maana nasema is not a completely reliable source.... u will need to research yourself from the same web...

Kwasababu hata hivo haiwez kukuonyesha source affiliation.. so possibility of getting biased information ni kubwa mno

Nothing can beat human mind..
What a need to search in web while Chatgpt can search for you, Don't you think you will waste your tme for nothing?
Robot can scan milions of website and give you a result within a second.
Yani utafute wewe taarifa za kuunga unga mtandaoni halafu ziwe sahihi kushinda robot linaloweza kusoma website zote za mtandaoni, be serioud brother! Wewe mbongo uwakosoe Microsoft kitu walichounda kwa akili kubwa.
 
Unaamini human mind can be replaced with robots?
 
Unaamini human mind can be replaced with robots?
Human mind is also a programmed mind otherwise it could totaly be empty like cow mind.
Tayari Robot ina replace human haalafu unauliza wakati vitu viko wazi.
Wewe huna uwezo wa ku process millions of information per second wakat robot ana process billions of info per second..
Usiseme eti Robot imeundwa na human, ni kweli ila sio binadamu mwenye akili za kawaida. Binadamu wengi duniani uwezo wao ni mdogo sana, hivyo hawataweza kulingana uwezo na Robot ilioundwa na watu wenye akili kubwa.
 
Watu wenye akili kubwa ndio vitu gani, kabla sijakwambia nothing can beat human mind nikuulize kwanza, unajua research funding zinatokana na interests na affiliation? Robots inaweza tambua hiyo?
 
Inatengeneza ajira upande mwingine, kama spreadsheet ilivoua upande wa bussines analyst walokua wanafanya manual lakini wataalamu wa spreadsheet wanapata ajira, So tuangalie AI inatengeneza fursa gani mbele.
AI inaua ajira zote from graphics design, business consulting, business plan and proposal writing. Etc
 
Kam hii
Screenshot_2023-03-04-20-48-13-930_com.android.chrome.jpg
 
Iko poa
Uzuri ni kama unachat na akili ya mtu mwingn tu so inarahisisha japo haipo bado vzr 100% ila unauliza unajibiwa

Na kama unahitaj marekebisho unaaema pale pale unarekebishiwa
Google ni brain ila.nadhan ila kadhia ya kila muda kufungua link inawakera wengi
 
Wanafunzi wanaweza kuuliza maswali yao na kupata majibu sahihi kutoka kwa ChatGPT.
Majibu mengine huwa sio sahihi, hivyo inatakiwa umakini na ufahamu wa kina wa kile unachouliza kwenye chartGPT, haitakiwi itumike blindly kwamba iko sahihi kwa kila jibu.
=
1678033535235.png
 
ChatGPT ni tamu sana na kuna ka project tupo tunashirikiana hapa kukatengeneza mimi na Bro ChatGPT kanahusu coding language yaani mambo safi kabisa
View attachment 2540784
juzi juma pili niliitumia kuandaa project proposal moja mtu aliniamba nimwandalie draft. sema nilichogundua ukiipa maelezo mengiiiiiiiiiiiiii,
let say unatumia ile njia kwamba unaiambia "I will be giving you instructions in chunks. After each instruction reply with NEXT, and my last instruction I will end it with END" alafu uanze kuipa Data sasa ya vitu vyako, unaipa, unaipa, unaipa, unaipa, unafika mahali inachanganyikiwa inakuambia "may i help you😂😂" unaiuliza tulikuwa tunafanya nini unakuta imepoteana. Kwaiyo namna rahisi nimeona ni kuitafunia na kuipa instructions fupi fupi, na zinazoeleweka.
 
Back
Top Bottom