Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Is just if else,while,for each statement.
Hakuna ugunduzi mkubwa.
Kazi kubwa walioifanya Microsoft ni kukusanya data base ya kila kitu na kuziundia arguments. Hio system itakuwa na ma server ya kutosha.
Hata sisi bongo kama tuna mtaji wa kukusanya data tunaunda hio AI
 
Ukirudia uzi wangu utaelewa kuhusu AI.
Vita iliyopo sasa ni kukomoana baada kuona ushindani umeshindikana kutoka kwa google.
Ukikosa kusoma angalia makala youtube
 
Hakika tekinolojia imekuwa sana. Huu mfumo wa akili bandia (Artifial intelligence) uliotengenezwa na Microsoft (Chat GPT) uko very clear. Nimekuwa nikiutumia Mara nyingi Sana. Sasa leo nikajaribu kuuliza iniandikie nyimbo kuhusiana na Rais wetu mpendwa Marehemu John Pombe Magufuli, na HAYA ndio majibu yake;.....
Nimeiuliza swali hili "Why magufuli considered as dictator"

Imenipa majibu haya:

Magufuli's Dictatorship

issa ismail
Why magufuli considered as dictator

John Magufuli was the President of Tanzania from 2015 until his death in March 2021. He was known for his strong-willed leadership style, which some people viewed as authoritarian or even dictatorial.

Here are some reasons why some people considered Magufuli a dictator:

Suppression of Political Opposition: Magufuli's government was known to suppress political opposition, limit freedom of expression, and curtail civil liberties. Opposition leaders were often arrested and detained, and critical media outlets were shut down.

Limited Freedom of Speech: The Tanzanian government under Magufuli was known to crack down on dissenting voices, including journalists and civil society activists, who were often harassed or arrested.

Centralization of Power: Magufuli centralized power in his office, with many government decisions being made by him alone. He also made several changes to the country's constitution to consolidate his power, including reducing the power of the judiciary and weakening the autonomy of local government.

Crackdown on Corruption: While Magufuli was praised for his anti-corruption efforts, some of his methods were seen as heavy-handed. His government often used tactics like arresting and prosecuting suspects without due process or evidence, and his anti-corruption drive was sometimes used as a pretext for targeting political opponents.

Overall, Magufuli's leadership style was marked by a tendency to concentrate power in his office, limit freedom of speech and expression, and suppress political opposition. These actions led many people to view him as a dictator, although there were also those who saw him as a strong and effective leader.
 
Nimeipenda, nimeidownload,

Sema nyingi zinataka hela, hela, hela, pesaaaaa baba, pesaaa
Chat GPT og ni moja tu, hizo nyingine zinazokuomba sana hela achana nazo ni fake, wahuni washajua kuna vichwa panzi wataingia mkenge tu🤣🤣
 
Hii Chat GPT itawalemaza hasa wanafunzi wa vyuoni kwenye final year projects zao. Nikikumbuka sisi kuiprogram Arduino kwa C++ tulihangaika sana,ila kama ingekuwepo enzi ile nahisi ile project tungemaliza semester ya kwanza.
 
Technology inakuja kurahisha maisha sio kulemaza
 
Vyuo wabadilishe mitaala. Huwezi komalia mtu a crame coding wakati soon coding itakuwa ni kazi ya computer.

Watu wafundishwe problems solving skills ili waweze ku instruct computer izalishe proper codes.

Pia watu kila wanacjofundishwa kiwe ki commercial zaidi. Haileti mantiki kuwa na growing number of graduates ambao ni tegemezi.

Kuna kipindi ilikuwa namba za simu unaandika kwenye notebook au ushike kichwani. Ku crame namba nyingi ilikuwa pia ni utabe. Mambo hubadilika for convenience.

Vyuo vyetu havipo dynamic, tatizo linaanzia hapo.
 
Mliosema google anaachia AI na yeye vipi? Tayari au
Google wanatukia AI nyingi za aina tofauti tofauti (Google lense, multisearch, etc) Na sasa wamekuja na Bard ambayo hawajaiachia kwa watu wengi.

Hii issue ya ChatGPT sio kwamba ndio ushindi wa moja kwa moja kwa Microsoft, nop. Bado wana mziki mzito mana Google ana infrastructure pendwa zaidi.

Tukumbuke kuwa kila simu inakuja na search engine pendwa (Google Search). Siku tu akiiwezesha Google Search kupokea maelezo badala ya keywords amepindua meza.

Kwasasa Google search inapofeli ni kwamba Algorithm yao inajikita kupokea keywords not conversations.
 
Miaka ya nyuma wasomi,wafanyakazi,watafiti baada ya teknolojia ya internet kuimalika sehemu kubwa ya kutafuta habari kwa wakati mmoja na kutatua tatizo ilikuwa search engine kama yahoo na ilipofika google ndio ikaleta msaada mkubwa.

Tuje kwenye hili la chatGPT .tanzania tuna kuwa nyuma sana kuhusu teknolojia ila teknolojia hii imefungua mwangaza mkubwa au kulemeza kijana sasa kwa kila kitu yani imebaki kiodogo mfumo kuwa unaongea ukapiga naye story,ikakutatulia tatizo mubashara.

Kwa chatGPT hakuna lisilowezekana tena linafanya kama binadamu ijalishi kujibu maswali,kusolve kazi yoyote.

Tukiendelea hivi zile PHD zitashuka maana hakuna kuumiza kichwa.

Keo ni mesolve maswali mengi kwenye interview ya online

Partly uko sahihi, likini haiwezi kumreplace binadamu,
chatGPT inatoa majibu based on the prediction model,kwa hiyo wewe kwenye domain yako unatakiwa kuhakiki hayo majibu kabla haujayatumia
Kuna instances inatoa majibu ya uongo kwa hiyo ukibeba kichwa kichwa unakula kwako,
Hivyo ni ubunifu mzuri na kwa kweli unasaifia sana katika utendaji kazi lakini haiwezi kushindana na binadamu
 
Chatgpt inakuandikia kutokana na info unazoifeed. Hivyo ili upate kitu chenye quality lazima uwe na idea ya unachokitaka. Inarahisisha mambo kwa mtu anayejua. Na si kila mru ana idea ya kaundaa business plan.
Kwa Sasa knowing how to ask questions ndio the most valuable skills unazotakiwa kuwa nazo ili uendane na AI technology.
 
AI inaua ajira zote from graphics design, business consulting, business plan and proposal writing. Etc
wakati Google Translate inatoka , 2006 , wadau wakasema zile kazi za translations zingekufa , wadau wanakunja $$ huko Upwork kama kawaida

hii GPT ni upepo tu, utapita, human intelligence haiwezi ondoka, eti umuondoe programmer upachike uchafu wa GPT kweli ?

baadhi ya programming forums kubwa ( stackoverflow , arduino ) wamepiga pin hiyo takataka, ukiweka reply yoyote ambayo ni AI generated, ban inakuhusu mubashara kabisa
 
Back
Top Bottom