Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Hiyo website inacheck kama text imeandikwa na AI au binadamu. Kuna mwalimu wa kike Mmarekani ameniambia anatumia hiyo kuwadaka wanafunzi wake wanaotumia AI kufanya kazi za darasani[emoji38][emoji38]
 
Ni vizuri kutest ChatGPT ili kujua strengths na weaknesses zake
Screenshot_20230403-232715.jpg
 
ChatGPT ni artificial intelegence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
Microsoft kaenda mbali na kudesign AI anayeitwa Copilot ambaye anaandaa presentations, documents na spreadsheet kabisa.
 
ChatGPT ni artificial intelegence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
Nimeandika makala fupi kuhusu chatGPT na makala mengine yenye lugha pendwa soon yatakuwa kwenye magazeti yetu

Nimeandika makala fupi kuhusu chatGPT na makala mengine yenye lugha pendwa soon yatakuwa kwenye magazeti yetu

Hii link uliyotuma ni ya nini
 
Niliwahi kuwapa link ya sinema flani inaitwa Detroit become human -Full Game, humo kuna AI like human being anafanya majukumu yote ya nyumbani.

Cha ajabu huko mbele baada ya AI kuwa wengi real human being walianza kuwachukia AI na kuanza kuwasaka popote walipo na kuwaangamiza, angalia hii sasa ...

AI waligundua ndiposa nao wakaanza vita na binadamu, ...

Ahahahaa tafuta hiyo movie uangalie how our world is going!.

🔗hiyo kwa wanaopenda vitonga 👇🏾!
 
hiyo kitu ni hatari kwa binadamu haswa wa africa,wenzetu hizo AI wanazo mpka za sauti na nyingine zimefungwa kwenye mafriji,magari,radio mpka televisio mfano maarufu ni ile SIRI,na sidhani kama wanazitumiaga hovyo,maana shida ya hiyo kitu ni kudumaza akili yaani kuwa empty na mwisho wa siku wakijablock izo vitu ndio kuleta wimbi la MANDONDOCHA alafu ni mfumo dhaifu sana maana unategemea wingi wa data kutoka kwenye forum na vitabu vilivyo kwenye acess za online book,na ndio maana kuna ishu nyingine ukiuliza mara2 yatakuja majibu tofauti.
 
Back
Top Bottom