Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏🙏Amina mkuu, Mungu awaponye.
Wangetia kiberiti hiyo gari pombe zingemwishiaHabari wakuu,
Hali yangu kiafya siyo njema sana, nikiwa natoka kutibiwa kwenye mojawapo ya hospitali humu jijini Dsm nimekutana na jambo baya linalosikitisha sana.
Dereva mmoja mwenye gari iliyo na usajiri wa T 546 DGV (Mimi sio mtaalamu sana wa magari, sijaweza kugundua upesi ni gari aina gani) ametaka kusababisha msiba mkubwa kwa Taifa kwenye kona ya kwanza iliyo na mteremko wa kasi wa Barabara inayoelekea Saranga kutokea Kimara Temboni.
Dereva huyu kalewa sana, akiwa na speed kubwa kashindwa kuhimili kona iliyopo kwenye mteremko huo hivyo kuvivaa vibanda vya wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi zao za urembo, stationery n.k
Bila gari ile kugonga nguzo mojawapo ya fremu zile na kusimama mtaroni ni dhahiri kuwa eneo hilo kwa leo lingeshuhudia mauaji makubwa yanayoweza kuepukika.
Kibaya zaidi, katika hali ile ya taharuki huku manusura wakiwa na wenge kubwa la kusalimika, dereva anaanza kumwagia watu pombe zilizobaki kwenye gari huku akiwafukuza wasitoe msaada.
Najua baadae trafiki mtafika hapo. Chukueni hatua kali dhidi ya kijana huyo mwenye tabia ya hovyo isiyoelezeka.
View attachment 2644467
View attachment 2644469View attachment 2644470View attachment 2644471
Picha ya Mwisho: Kijana aliyevaa suruali ya khaki na shati jeusi mikono mirefu ndiye dereva.
Uhai ukipotea haurudi. Usiendeshe gari ukiwa umelewa.
kwani gari imewakosea nini? Inawezekana kabisa aliiba hiyo gari halafu unamwadhibu mmiliki, hiyo siyo sawa.Wangetia kiberiti hiyo gari pombe zingemwishia
Mungemchapa hata makofi kidogo atoe wenge la pombe.
Yaani vijana wote hao wamekaa Kwa kutulia kumsikiliza mlevi?
Akiingia hasara atajifunza kuwa makinikwani gari imewakosea nini? Inawezekana kabisa aliiba hiyo gari halafu unamwadhibu mmiliki, hiyo siyo sawa.
Wao washughulike na mwendeshaji wa hiyo gari.
Upole wa watanzania umepitiliza mkuuWangetia kiberiti hiyo gari pombe zingemwishia
Itakuwa kweli, jamaa pengine kaazima tu hii gariAngepigwa tu ndo mkaiita traffic vijana wa dar duuh,poleni lakini huyo inaonekana Mali ya mjomba hata uchungu hana ,mwenye gari ungemjua tu so huyo mpumbavu
Dereva huyu kalewa sana, akiwa na speed kubwa kashindwa kuhimili kona iliyopo kwenye mteremko huo hivyo kuvivaa vibanda vya wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi zao za urembo, stationery n.k
Si huyo hapo sasa. Kamateni mumpe kichapo mpaka pombe iishe.Habari wakuu,