Yaan wamilki wa bar na club sijuh kwanini vifo vyao huwa ni vya gafla au ajali!!!
Alimiliki bendi ya Beta la Musika akishirikiana na MatakaNaam mkuu alikua anamiliki Bar maarufu sana magomeni, na aliwahi kua mmiliki wa Bendi ya muziki lFM. Academia) pia
Unatafta kickKwani marehemu alikuwa nae anauza unga?
Ngoja mshanajr aje atupe siri ya hii mambo!Hio ni kweli kabisa chief, hata kuna uncle mmoja na yy alikua mmiliki wa bar na Lodge na yeye alifariki ghafla tu. RIP
Nyie ndio mnatufanyia tabu hapa jfDah! miaka hiyo bado sijafikiriwa kazaliwa aisee! apumzike kwa aman
Kumbe ndio huyu nilikua simjui miaka yote
Aliyekuwa mmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es
Salaam, Hussein Macheni amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla akiwa
nyumbani kwake Magomeni.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ni kwamba Macheni alianguka ghafla majira ya
saa 3 asubuhi na kukimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo iligundulika kuwa
tayari amefariki.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa Muhimbili kusubiri taratibu nyingine. Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. AMEN.
Chanzo : Global Publishers
Alimiliki bendi ya Beta la Musika akishirikiana na Mataka
Kumbe ndio huyu nilikua simjui miaka yote
Richard Kigenz 59 YRSDah....nimekula sana totoz hapo kwenye baa yake miaka ya 90.
Apumzike kwa Amani.
Jamaa ni level ya le mutuzWewe mzee kweli unatisha!
2016-1992=24yrs
Umri wa kula totoz na uwapo mapene. 30-35.
i.e 35+24= 59 ish!
We hukuwa na ka binti huko. ...Jana nilimuona Mbezi beach, nikawa najiuliza hii sura nimeiona wapi.
Baada ya dakika kama tano nikamkumbuka. Alikuwa anapiga monde akiwa na rafiki yake mishen town mmoja
aliyekuwa Mbunge pamoja na mabinti wawili. Maisha mafupi sana.
RIP Macheni
Huseein mmiliki wa Bar....Dah Allah amsamehe...