Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mtu mzima lakini hapendi kuzeekaWewe mzee kweli unatisha!
2016-1992=24yrs
Umri wa kula totoz na uwapo mapene. 30-35.
i.e 35+24= 59 ish!
Vip kuhusu siku hizi mkuu imekufa au ipogo tu
Lazima nyenyere wanatafuna,stress zina vyanzo vingiDah....nimekula sana totoz hapo kwenye baa yake miaka ya 90.
Apumzike kwa Amani.
Barabara ya DART illifanya Kifusi. No more Macheni Bar.V
Vip kuhusu siku hizi mkuu imekufa au ipogo tu
Duh 😷 uchunguBarabara ya DART illifanya Kifusi. No more Macheni Bar.
Haaa na mm nimo miaka ya 2000kwa mara ya kwanza Dar ni kupeleka Kwa machinists na kumbuka siku hiyo machinists Akita’s tracksuit jenkundu tulivuta baba hadi majogoo tukaondoka na Toto’sAhahahahahaaaaaaa.......
Ohooo ikiwaje mkuu Malizia story tafadhali,iko siku nilipiga tungi sana kwa macheni, nikabeba shoga nilijua mwanamke kutokana na mwonekano wake na ongea yake, nimekuja kushtuka ni mwanaume niko nae kwenye tax, hahaha sitasahau kilichotokea.
Duh 😷 kwa hiyo Mkuu na wewe ulipata ukimwiMacheni huyu huyu?
Hakika wengi sana waliathirika na ukimwi kwenye bar yake miaka ya 93/99. Pale ukimwi ulikua nje nje. Kunyonyana hadharani ilikua jambo la kawaida.
Nakumbuka mwaka 98 nilikunywa pale mpaka jua majogoo.
Kwanini tunapenda mabaya Tu Kwa wenzetu?Lazima nyenyere wanatafuna,stress zina vyanzo vingi
Hapo kamaanisha nini maana hata sijamuelewaKwanini tunaopenda mabaya Tu Kwa wenzetu?
Kaongea upuuzi TuHapo kamaanisha nini maana hata sijamuelewa
Huseein mmiliki wa Bar....Dah Allah amsamehe...