TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

Baa ilikuwa inaitwa Highway Night Park. Ilishafungwa kitambo.Ashura basikia alishaolewa na anishi Dubai
Ebo! Ashura tena? Maana awali kabisa alimuoa Huria mtoto wa Kitwana Kondo naye akatoweka,basi tena ndio malimwengu.
 
Hussein Macheni huyu jamaa alikuwa kati ya wanaume wa mwanzo kabisa kuweka nywele kalkiti na kujibadili rangi ya ngozi kuondoa weusi wa asilia na kuwa rangi isoyoeleweka yaani rangi mbadala [emoji12][emoji12][emoji12]alikuwa rafiki wa wajomba zangu enzi hizo wakiitwa mabaharia walikuwa wanapiga cheni kibao vifuani nilikuwa Mdogo ila namkumbuka alikuwa hataki shida ndogo ndogo huyu jamaa [emoji12][emoji12]RIP Hussein Macheni
 
kwa ujumla fedha ilikuwepo,ile baa hakuwahi kuonekana pale nyuma licha ya umaarufu wake,alishinda casino na kwenye mahoteli ya kitalii kupiga deal,ila baada ya kuwa na ashura ndio tukawa tunalewa nae pale highway mpk asubuhi.jamaaa ni muungwana sana tu na ana heshima kwa watu wote tofauti na anavyofikiriwa.

R.I.P.Macheni
 
Best kwa hesabu umetishaa[emoji119] [emoji119]
Kifo chake kimesaidia tumewajua watu wa hapa ambao ni age ya kina lemutuz

R I P Macheni
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji85] [emoji86]
 
Bar yake ndio lilikuwa chimbuko la Mashoga kujiachia hadharani
 
Shoga sugu. Enzi hizo kulikuwa na ghorofa linajengwa pale magomeni karibu na hiyo baa yake. nami nilikuwa nafanya kibarua hapo cha kumsaidia fundi kujenga. Nikasikia washikaji wanaongea sana, kuwa jamaa ndio hivyo tena, halafu mbaya zaidi ameungua.
 
Palikuwa na madada matatu mabonge nimesahau majina yao.
Ilikuwa lazima Kwenda kuyaangalia!
R.I.P
 
Shoga sugu. Enzi hizo kulikuwa na ghorofa linajengwa pale magomeni karibu na hiyo baa yake. nami nilikuwa nafanya kibarua hapo cha kumsaidia fundi kujenga. Nikasikia washikaji wanaongea sana, kuwa jamaa ndio hivyo tena, halafu mbaya zaidi ameungua.

Hapo kwenye kuungua!! Duh. Au ndio maana kafa kwa style hiyo?? Ya ghafla.
 
Back
Top Bottom