TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

iko siku nilipiga tungi sana kwa macheni, nikabeba shoga nilijua mwanamke kutokana na mwonekano wake na ongea yake, nimekuja kushtuka ni mwanaume niko nae kwenye tax, hahaha sitasahau kilichotokea.
Duh.....ilikuwaje Mwishowe malizia[emoji23]
Mashoga hapo ilikuwa kama nyumban

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani Ngabu,hongera kwa kuwala totozi miaka ya 90 kwenye baa yake,pia miaka hiyo ya 90 marehemu naye aliwafagia vilivyo,ngoma droo,usijisifie!!!
Dah....nimekula sana totoz hapo kwenye baa yake miaka ya 90.

Apumzike kwa Amani.
 
Nyani Ngabu,hongera kwa kuwala totozi miaka ya 90 kwenye baa yake,pia miaka hiyo ya 90 marehemu naye aliwafagia vilivyo,ngoma droo,usijisifie!!!
Marehemu naye alikufa kwa Juliana, madawa ya Juliana yanasababisha mafuta mengi kwenye moyo hivyo possibility ya heart attack na kifo
 
Pole sana wanafamilia!!watu maarufu wenye kipato wanatoweka kwa kasi tena kwa vifo visivyoridhisha!!!HUU NI MTIKISIKO WA KIUCHUMI!KODI KIBAO!TRANSACTION ZINAKULA KODI SANA TU!!!NMB WAKALA NAYO HATARI!!LAZIMA TUTAZIKA SANA MWAKA HUU WA UCHAGUZI!!
 
Macheni huyu huyu?
Hakika wengi sana waliathirika na ukimwi kwenye bar yake miaka ya 93/99. Pale ukimwi ulikua nje nje. Kunyonyana hadharani ilikua jambo la kawaida.
Nakumbuka mwaka 98 nilikunywa pale mpaka jua majogoo.
Pango la UCHAFU na kumhuzunisha MUUMBA. Okoka leo hizo totos utaziona kinyesi
 
Pole sana wanafamilia!!watu maarufu wenye kipato wanatoweka kwa kasi tena kwa vifo visivyoridhisha!!!HUU NI MTIKISIKO WA KIUCHUMI!KODI KIBAO!TRANSACTION ZINAKULA KODI SANA TU!!!NMB WAKALA NAYO HATARI!!LAZIMA TUTAZIKA SANA MWAKA HUU WA UCHAGUZI!!
Kifo hakina ubaguzi;Mungu hana upendeleo
 
Pole Kwa Ndugu, jamaa na marafiki. Nakumbuka nilikuwa nakatiza asubuhi nikiingia zangu skuli Azania, asubuhi saa moja nakuta bado kuna mtu kibao zinapata mambo. Kwa Macheni kweli enzi hiyo.

Pumzika Kwa Amani Hussein.

Hahahah dah umenikumbusha mbali aisee me nilikuwa natoka usiku kimara walau apo magomeni nashuka natembea kwa mguu ili nipite hapo kwa macheni nile chabo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom