TANZIA Mmiliki wa Blog ya Maswa Yetu na MwanaJF, Innocent Lugano Mbwaga afariki dunia

TANZIA Mmiliki wa Blog ya Maswa Yetu na MwanaJF, Innocent Lugano Mbwaga afariki dunia

Apumzike Kwa amani kamanda!

Hv kwa Mimi ambae Sina mtu najuana nae humu hata Moja....siku tayre la scania likichomoka road likanibutua nakafa nani atatoa taarifa au uongozi wa jf unataarifa zote za members wake na watajua
Huyu mwamba nilikuwa najuana naye sana kitaa ila sikujua kama yupo jf wala anamiliki blog, alikuwa mwalimu.
 
Huyu mwamba nilikuwa najuana naye sana kitaa ila sikujua kama yupo jf wala anamiliki blog, alikuwa mwalimu.
Mungu amlaze mahala pema peponi ndugu yetu huyo! Mm na marafiki kibao wanatumia jf na kila mtu ana uhakika mwenzake anatumia sema ID hatujuani
 
Ushauri kwa Maxence Melo hizi nyuzi za tanzia zisiwe na sehemu ya comment kwa sababu haina maana. Maelezo/maelekezo yote yawekwe kwenye main post. Pole zetu hazina mchango wowote kwa familia wala marehemu. Asante
Let people express their feeling
 
Back
Top Bottom