Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhhhhhhhhHuyu jamaa wakati nilikuwa nawapambania walimu na kuandika thread za walimu alikuwa ananitisha na kusema ataninyoosha Kwa madai nadharirisha walimu Sasa yeye ndokanyooshwa
Niondolee stress zako hapo. Bwege nini?Mungu atusaidie kufanya nini?
Ebu acha hizi bro. Haikutakiwa kuleta hizi Personal issue na mtu aliyefariki hapa kwetu. Zingebaki kuwa zenu wenyewe kwani hawezi jitetea tena. Sio sawa kabisa kwani nawe siku yako yaja ambayo utalazwa kwenye heneza kama yeye.Huyu jamaa wakati nilikuwa nawapambania walimu na kuandika thread za walimu alikuwa ananitisha na kusema ataninyoosha Kwa madai nadharirisha walimu Sasa yeye ndokanyooshwa
R.I.P I nnocent Mbwaga.Mwendeshaji na Mmiliki wa Mtandao wa MASWA YETU BLOG, Innocent Lugano Mbwaga maarufu Blogger Boy amefariki dunia.
Innocent mkazi wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ambaye ni Afisa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara amefariki dunia leo asubuhi Ijumaa Desemba 8,2023 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitali baada ya kupata ajali ya pikipiki Tandahimba Desemba 5,2023.
"Ni kweli kijana wangu kafariki dunia leo asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kanda Mtwara, alipata ajali ya pikipiki siku ya Jumanne akitokea kazini kwake Tandahimba...Taarifa zaidi tutaendelea kupeana", amesema baba mzazi wa Innocent mzee Mbwaga.
JamiiForums alikuwa anajulikana kwa jina la Lugano5
View attachment 2836365
R.I. P Innocent Mbwaga
Is it a normal road accident or the staged road accident????Mwendeshaji na Mmiliki wa Mtandao wa MASWA YETU BLOG, Innocent Lugano Mbwaga maarufu Blogger Boy amefariki dunia.
Innocent mkazi wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ambaye ni Afisa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara amefariki dunia leo asubuhi Ijumaa Desemba 8,2023 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitali baada ya kupata ajali ya pikipiki Tandahimba Desemba 5,2023.
"Ni kweli kijana wangu kafariki dunia leo asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kanda Mtwara, alipata ajali ya pikipiki siku ya Jumanne akitokea kazini kwake Tandahimba...Taarifa zaidi tutaendelea kupeana", amesema baba mzazi wa Innocent mzee Mbwaga.
JamiiForums alikuwa anajulikana kwa jina la Lugano5
View attachment 2836365
R.I. P Innocent Mbwaga
Kifo kiwe funzo kwa sisi tuliobaki. Wazungu ujanja wote mateknolojia lkn ukimuuliza atakufa lini hajui. Allah akbarMwendeshaji na Mmiliki wa Mtandao wa MASWA YETU BLOG, Innocent Lugano Mbwaga maarufu Blogger Boy amefariki dunia.
Innocent mkazi wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ambaye ni Afisa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara amefariki dunia leo asubuhi Ijumaa Desemba 8,2023 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitali baada ya kupata ajali ya pikipiki Tandahimba Desemba 5,2023.
"Ni kweli kijana wangu kafariki dunia leo asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kanda Mtwara, alipata ajali ya pikipiki siku ya Jumanne akitokea kazini kwake Tandahimba...Taarifa zaidi tutaendelea kupeana", amesema baba mzazi wa Innocent mzee Mbwaga.
JamiiForums alikuwa anajulikana kwa jina la Lugano5
View attachment 2836365
R.I. P Innocent Mbwaga
Kumbe CCM mnaujua wema?Kila nafsi itaonja mauti tuendelee kutenda mema ili kuweka akiba ya tuendako!
wema wanaujua wale wachangisha harambee!
Maxence MeloPole sana , kwa ndugu jamaa na marafiki je kipengele cha privacy kimezingatiwa?
Pengine ndugu yetu hakutaka kujulikana kwa jina lake halisi.