Huyu mwamba nilikuwa najuana naye sana kitaa ila sikujua kama yupo jf wala anamiliki blog, alikuwa mwalimu.Apumzike Kwa amani kamanda!
Hv kwa Mimi ambae Sina mtu najuana nae humu hata Moja....siku tayre la scania likichomoka road likanibutua nakafa nani atatoa taarifa au uongozi wa jf unataarifa zote za members wake na watajua
Mungu amlaze mahala pema peponi ndugu yetu huyo! Mm na marafiki kibao wanatumia jf na kila mtu ana uhakika mwenzake anatumia sema ID hatujuaniHuyu mwamba nilikuwa najuana naye sana kitaa ila sikujua kama yupo jf wala anamiliki blog, alikuwa mwalimu.
Hapo hata mimi ninao 😅Mungu amlaze mahala pema peponi ndugu yetu huyo! Mm na marafiki kibao wanatumia jf na kila mtu ana uhakika mwenzake anatumia sema ID hatujuani
🤣🤣🤣Mtajuana tu subir siku walete ushuhuda wamemnaniii mchumba wakoHapo hata mimi ninao 😅
Hili ni janga 😅😅😅🤣🤣🤣Mtajuana tu subir siku walete ushuhuda wamemnaniii mchumba wako
Let people express their feelingUshauri kwa Maxence Melo hizi nyuzi za tanzia zisiwe na sehemu ya comment kwa sababu haina maana. Maelezo/maelekezo yote yawekwe kwenye main post. Pole zetu hazina mchango wowote kwa familia wala marehemu. Asante
Dunia ina watu complicator sijapata kuona...Punguza hofu yakifo,maoni yeendelee kuwepo,hii inatufanya kumfahamu vizuri muhusika,mfano mtu kaleta tanzia na membes wanataka kuhudhuria msiba huo so akaulize wapi!? Kwa moderators!?