GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3439412

Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu

View attachment 3439522
Matajiri duniani kote hulinda Mali zao na heshima zao kwa kujipendekeza kwa mamlaka iliyopo. Elon Musk, ni mfano. Utawala ukibadilika nao wanabadilika kufuata upepo. Ni matapeli na hawachangii kukipenda chama chochote. Wanalinda maslahi yao tu.
 
Kama mnufaika wa mfumo lazima uwepo / uangalie usajili na kuhakikisha timu inayopatikana inakunufaisha....

 
Serikali Yote Nimeitia Mfukoni Mwangu, Nikajiuliza Ana Mfuko Mpana Kiasi Gani ?
By Mwalim Julius K Nyerere
 
Back
Top Bottom