GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Oooh bas sawaa.
Lakini SI lazima yeye hata we kama tunaweza panga mambo VIZURI, ITAKUA SAWA maana mi kwa SASA nipo ZENJI, Kuna tamasha LANGU la kwanza NATAKA ni launch HUKU, NDO najipanga coca SIJUI UTAKUA tayari.
 
Masikini hatuna chetu!! Ccm iko n wenyewe n wenyewe ndio hao. Kuleni maisha chura a.k.a Dalali hana uchungu n watanganyika. Kwakua Yake yana mwendea tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hawa watu hawana tena uoga wowote.
Kafulila alikuwepo ? Na vipi mtazamo wake kwasasa ? Sijawahi kuipenda CCM tangu nizaliwe ila kwa mara mbili mzima nilimchagua Magufuli...matajiri ni watu hatari na wenye nguvu mno hao ndio walimuandama mno Magufuli na maskini wakaunga mkono....aisee maskini sio wakumpigania
 
Magu kwani alifanya Nini,hamna lolote ,naye usanii tu!
Kila mmoja ana mapungufu yake, hakuna aliekamilika

Ila majambazi walipazwa pia waliokuwa wanawasaidia walikoma
Usiku tukajiachia kwa raha zetu
Alijitahidi kwa mengi
 
Benki aliyotumia ya kiswahili(mkombozi) ndiyo habari zikavuja, Singa alipitishia benki ya wazungu(stanbic), huko hela zilibebwa kwa magari kimya kimya na kiasi zikaishia jumba jeupe la magogoni...mkazi wa ile nyumba wa wakati huo akajitokeza hadharani na kudai hela zile hazikuwa za serikali...shame man.
Na ilipogundulika kwamba Ile hela ni ya Sirikali, wakaona ili kuondoa aibu basi wahusika waachiwe huru kwa makubaliano yale. Kesi ikafa kifo cha mjomba na maisha yakaendelea.
 
Escrow scandal iliishaje?
 

Attachments

  • image_search_1755071204130.jpg
    image_search_1755071204130.jpg
    15.5 KB · Views: 16
Back
Top Bottom