GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuachiwa huru, alikiri makosa wakamalizana na DPP nje ya mahakama.

Huyu tapeli haruhusiwi kukanyaga Kenya.
Hivi Ulaya unaweza kukiri makosa, ukamalizana na DPP ?

Yani Magufuli, the best ever, the most serious tough-on-crime leader we have ever had na yeye anaamini jambazi kaa nae chini myamalize. Na akatamka "ni bora tuwatoe jela, watafute pesa, mabiashara yaendelee, tupate na kodi." Wakikaa ndani tunapata nini, ndivyo alivyo reason, mnakumbuka ile spichi ??

Kwa hiyo, mpaka tuje tumpate:

1. Anaechukia majambazi ya umma kama Magufuli

2. Na huyo Magufuli mchukia maovu mtakae mpata awe kichwani anaelewa maovu yanapigwaje vita.

Hatujampata bado, hata Nyerere hakuwafunga jela, aliwahamisha idara.

Na hawa wa sasa sio hawapendi uovu, bali wanafurahia kwenye uovu. Kuna bacteria fulani wanastawi kwenye maji ya moto, yenye acid kali, na gesi sumu na chafu ya H2S, CN, S2O. Ukiboresha mazingira wanakimbia. Wanaitwa ARKAE. Ndo hawa viongozi na wafanya biashara wa sasa.
 
Hivi Ulaya unaweza kukiri makosa, ukamalizana na DPP ?

Yani Magufuli, the best ever, the most serious tough-on-crime leader we have ever had na yeye anaamini jambazi kaa nae chini myamalize. Na alisema tuwatoe? wakafanye biashara, watafute pesa tupate na kodi

Kwa hiyo, mpaka tuje tumpate:

1. Anaechukia majambazi ya umma kama Magufuli

2. Na huyo Magufuli mchukia maovu mtakae mpata awe kichwani anaelewa maovu yanapigwaje vita

Hawa wa sasa sio hawapendi uovu, bali wanafurahia kwenye uovu. Kuna bacteria fulani wanastawi kwenye maji ya moto, yenye acid kali, na gesi chafu ya SO2. Ukiboresha mazingira wanakimbia. Wanaitwa ARKAE. Ndo hawa viongozi na wafanya biashara wa sasa.
Trillion 2 alizosema CAG hazijulikani ziliko,zilienda wapi!?..hizo hela(plea bargain) walizotoa mafisadi Ili waachiwe kwa nini zilikua china kwenye akaunti binafsi?
Kea nini aliachana na kampuni za china zenye ribs 2% akasaini tu uturuki ribs 10% kwenye kujenga she?
 
Huyu si ndie aligawa hela za mboga kwa Prof Tibaijuka, Chenge, na Askofu nani sijui!
Ndiyo yeye huyo....yale mabilioni ya ESCROW yaliibwa na kugawanywa kama njugu wakati wa Jakaya.
Kwa ufupi....mafisadi wamerudi kwenye chati, na this time kwa kujua walichopitia wakati wa Magu, watahakikisha hawatoi nafasi tena ya mtu aina ya Magu kushika madaraka...watakula na kula na kula tena na cha kuwafanya hatuna!
 
Natafakari hapa kama Chama cheti kitukufu bado ni Cha WAKULIMA na WAFANYAKAZI
wakulima na wafanyakazi walipigwa dafrao kwa azimio la zanzibar na Nyerere akiwa hai na hakuna kitu cha maana aliweza kufanya...
sasa ni chama cha matajiri wenye hela ndefu...!
 
Lile gawio la Ruge liliwekwa wazi. La Singasinga likabaki kuwa siri sirini. Si majina wala idadi ya pesa vilijulikana.
Benki aliyotumia ya kiswahili(mkombozi) ndiyo habari zikavuja, Singa alipitishia benki ya wazungu(stanbic), huko hela zilibebwa kwa magari kimya kimya na kiasi zikaishia jumba jeupe la magogoni...mkazi wa ile nyumba wa wakati huo akajitokeza hadharani na kudai hela zile hazikuwa za serikali...shame man.
 
ALIKUA analia KILA SIKU mara ana uvimbe tumboni mara Nini SIJUI asee magu alichukiwa na madon SANA, nmeshangaa na HUYU mzee yumo TENA ccm

Kwishaaaa
eti ana puto limepasuka anataka puto jipya la kupumulia magufuli akasema Tanzania oxygen ni bure kwa nini atumie puto.kaa ndani.
Aliteseka Sana sema ana roho ngumu kama paka Mungu amuweke Baba WA watu Singa na puto lake
 
Kuhusu nn sasa?
Hapana NILIKUA nauliza jinsi ya KUMPATA Kuna project zinazo husu matamasha na plan KU launchs soon njia nyepesi kufanikisha hili nahitaji WATU hasa celebrities nika fikiri njia nyepesi nikuaanza NAE, then atajua itakuwaje, CHANGAMOTO pale KWENYE media SIO sehemu SAHIHI kumfata MTU on first time see, natafuta sehemu tofauti au njia mbadala jinsi ya KUMPATA

Full stop

Km una project nafikiri ungemfuata pale Media, itakua rahisi na vitu vingine kuhusu hiyo project husika.
 
eti ana puto limepasuka anataka puto jipya la kupumulia magufuli akasema Tanzania oxygen ni bure kwa nini atumie puto.kaa ndani.
Aliteseka Sana sema ana roho ngumu kama paka Mungu amuweke Baba WA watu Singa na puto lake
Uwepo wake TU pale,ni mkakati na HESABU zake NDO zimemtuma, sahivi ATA traficks wataogopa kumsimamisha barabarani mkuu haya maisha tuendako itakuwa masikin na tajiri gepu lake mbingu na ardhi. Ukimchokoza HUYU mzee uraiani kimbia TU maana Kuna kisasi anakisubiri ULE uso inaonesha BADO ana dukuduku moyoni kupiga CHUMA raia ni kugusa TU. Halafu HAMNA vyenye tuta mfanya

Full stop
Kwishaaaaaa
 
Km una project nafikiri ungemfuata pale Media, itakua rahisi na vitu vingine kuhusu hiyo project husika.
Nisha jaribu kipindi kile, haikua nyepesi na hairuhusiwi ispo kua kwa appointment rasmi AMBAYO ye mwenyewe amekupangia

Full stop

Kwishaaaa
 
Back
Top Bottom