GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3439412

Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
Huyu si ndo yule fisadi wa IPTL, alishirikiana na marehemu lowasa na mzee kikwete kuifisidi nchi, ni mtu mchafu na wa biashara haramu.
 
Back
Top Bottom