Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Hatari sana hilo kundi.Dah! My country Tanganyika; rest in peace! Wahuni siyo watu poa hata kidogo.
Hatari sana hilo kundi.Dah! My country Tanganyika; rest in peace! Wahuni siyo watu poa hata kidogo.
Alitishia puto linataka kupasuka tumboni, akaambiwa liache lipasuke🤣🤣🤣Aliisha akabaki ndevu tu 🤣🤣
Marehemu kaburini hakukaliki"Bhabha, Magufuri acha bhebhe ilikuwa mtu siyo ya mchezo. Weka ndani vote weka ndani mimhi weka ndani Rugemalira. Kaa ndani mimi hadi kufa kidogo bhebhe. Magufuri mtu mbaya sana lakini sasa niko na mama nyonya mimi. CCM weka milioni 500 mimi fisiemu domudomu (damu damu)" amesikika banyani mmoja leo.
Saa hii husikii puto tumboni linaumwaALIKUA analia KILA SIKU mara ana uvimbe tumboni mara Nini SIJUI asee magu alichukiwa na madon SANA, nmeshangaa na HUYU mzee yumo TENA ccm
Kwishaaaa
CCM wanawadharau sana watanzania. Yaani dharau zimekuwa za waziwazi. Na bado kuna wanyonge watatiki 🚮🚮🚮🚮View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
Ndugu hao ndio ma financer...na ule mkataba ulikua halali ulisainiwa na AG Chenge na kuwekwa official government seal (sitaki kuutaja)Hawa watu hawana tena uoga wowote.
RAsmi ccm imetekwa na wahuni, sa100 ameturudisha nyuma sana huyu mama!Arafu mnategemea ccm wakemee ufisadi
Yule alikuwa Rugemalira ila walifungwa woteHuyu si ndie aligawa hela za mboga kwa Prof Tibaijuka, Chenge, na Askofu nani sijui!
Kuna chama hakichangiwi na matajiri?.Acha kutafuta ela ukae kujisemesha mitandaoni.CCM wanawadharau sana watanzania. Yaani dharau zimekuwa za waziwazi. Na bado kuna wanyonge watatiki 🚮🚮🚮🚮
Yeye na mzee wangu rugemalilaHatomsahau Magufuli mpaka anakufa huyu🤣🤣🤣
Maana halisi ya "state capture" tishio kwa umma na manufaa kwa wachache hao!View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
System iko upande wao sahv...yaani hawaogopi dhoruba wala mawimbi..watatufanya nini?..KIBRI cha daraja la juu kabisa