GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuachiwa huru, alikiri makosa wakamalizana na DPP nje ya mahakama.

Huyu tapeli haruhusiwi kukanyaga Kenya.
Toa ujinga wako alikiri makosa gani? Sheria namba ngapi inasema ukikiri. makosa mnamalizana?

Ndio maana mnapukutika mmja baada ya mwingine Kwa kudhukumu watu.

Akitoka SSH yanakuja majitu mengine ya hovyo Kuharibu uchumi tena.
 
Welcome to United Oligarchy Republic of Tanzania...
 
Mshauri huyo tapeli akadai kurejeshewa pesa aliyolipa.

Samia na uchumi wapi na wapi! 😆😆
Tayari ugomvi ulishaamuliwa hata hivyo Samia aliwarejesha wote walioporwa kuanzia wa bureau de Change Hadi waliobambiliwa kesi.

Mijitu ya hovyo Huwa haidumu japo kingine inadumu sana.
 
Kwani Kuna shida gani? Yule aliyemuwekaga jela alishindwa Kumfikisha kizimbani Hadi akaachiwa huru.
Mbona alipandishwa kizimbani mara nyingi tu. Alokuja kutoka wakati wa Samia baada ya kukiri kosa na kutakiwa kulipa mabilioni, alilipa kadhaa na kuahidi kumalizia
 
Toa ujinga wako alikiri makosa gani? Sheria namba ngapi inasema ukikiri. makosa mnamalizana?

Ndio maana mnapukutika mmja baada ya mwingine Kwa kudhukumu watu.

Akitoka SSH yanakuja majitu mengine ya hovyo Kuharibu uchumi tena.
Alikiri kosa kwa sheria ya plea bargain, na alilipa kiasi kadhaa na kutakiwa kumalizia kingine baada ya muda
 
Back
Top Bottom