Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Huyo hapo mpaka anajishtukia yani
Kutoka makusanyo wasemayo wakulipe madai na fidia zaka zote na madai halali.View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
Samia angekuwa wa hovyo ungesikia uchumi umeyumba au vyuma kukaza.Hatuwezi pata wa hovyo kiwango cha sa100 mkuu!
Sijajua kama ni mgumu wa kuelewa au inafanya kusudi. Singasinga alitoka baada ya kukiri kosa na kufanyika plea bargaining, hii ilikua wakati wa Samia na dpp mpya Silvester mwakitalu.Hakuna alipokiri makosa Samia aliwatoa baada Kwa sababu alijua hakuna kesi.
Plea bargain iliingizia Serikali kiasi gani? Unajua hizo hela zilikoishiaga?
Ule Utawala ulikuwa unadhukumu sana watu,Kabendera ameelezea vizuri Sana kwenye kitabu chake na jinsi walivyokuwa wanalazimishwa kukiri uongo Ili kumfurahisha Jiwe.
Mtapukutika mmja baada ya mwingine.Mwingine alimnyoma Lisu Hadi pesa ya Matibabu akidai hajui aliko nae kalamba udongo 😁😁
Mkuu si nimekueleza alikua na kosa la uhujumu uchumi. Au kusoma hujui?Kosa gani alilokiri?
View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
"Dichotomy of ethics"View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
Kosa la uhujumu uchumi adhabu yake ni kukiri.kosa na ku bargain na dpp?Mkuu si nimekueleza alikua na kosa la uhujumu uchumi. Au kusoma hujui?
Fundi wenu atatoka soon.. Get preparedJibu swali nani Yuko ndani ya jumba la hewa butu?
Kosa gani?Sijajua kama ni mgumu wa kuelewa au inafanya kusudi. Singasinga alitoka baada ya kukiri kosa na kufanyika plea bargaining, hii ilikua wakati wa Samia na dpp mpya Silvester mwakitalu.
Fundi ni Mungu utamtoa wewe? Utajifariji Hadi 2030.Fundi wenu atatoka soon.. Get prepared
Viongozi wote wakuu wa ccm kwa miaka yote wametokea kwenye umaskiniVita ya Maskini wa kisiasa (waliotokea maisha magum wakatoboa kisiasa) vs Matajiri wa kisiasa(waliokulia kwenye chambi chambi na mterezo wa kisiasa)
Mungu wa mbinguni atampigania atatokaFundi ni Mungu utamtoa wewe? Utajifariji Hadi 2030.
Una tatizo la kutojua nini unasoma na kujibu.Kosa gani?
Kosa gani?Una tatizo la kutojua nini unasoma na kujibu.