okKuanzia mwinyi, mkapa, kikwete, magufuli, Samia wote walitoka familia maskini
Makamu wao chamani pia hivyo hivyo
Yule mwamba acha kabisa. Alikuwa hachekicheki na ufisadi kama mtangulizi wake.Magufuli alimuweka mahabusu huyu Singasinga ujue.
Ila Magu duuuuuuuh
Huyu naye ni mmoja wa Wanamtandao.View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
Kikwete fuatilia vizuri Kikwete ni mtoto wa chifu mzee wakati ule tunaweza kusema mtoto wa mkuu wa wilaya hao ndo walikua wanauza watu wenye nguvu kwa wakoloni wapelekwe kama watumwaKuanzia mwinyi, mkapa, kikwete, magufuli, Samia wote walitoka familia maskini
Makamu wao chamani pia hivyo hivyo
Sasa mmeuona MtandaoMagufuli alimuweka mahabusu huyu Singasinga ujue.
Ila Magu duuuuuuuh
Ile mahakama ya mafisadi ilikuwa ni story tuKuwa wa kwanza kufafahamu jambo hili.
Habari kamili hii hapa
View attachment 3439510View attachment 3439511
Picha hizi zimepigwa kwenye Kongamano la kuchangia pesa kwa ajili ya kampeni za Mgombea Urais wa CCM
Ametajwa kama Miongoni mwa Wachangiaji Wakubwa.
Mungu Inusuru Tanzania
Usiku unawezaje kuwa mwema kwa hali hii?Usiku mwema