😆😆😆😆😆Dah! Kwa hiyo kipindi kile JPM alipokuwa anawashughulikia hawa jamaa, kumbe kuna watu ndani ccm hiyo hiyo walikuwa wana mzoom tu! Kwa hali hii bora niendelee tu kunywa pombe zangu za kienyeji huku kijijini. Siasa mbaki nayo nyinyi wenye mioyo ya unafiki.
Kuwa wa kwanza kufafahamu jambo hili.
Habari kamili hii hapa
View attachment 3439510View attachment 3439511
Picha hizi zimepigwa kwenye Kongamano la kuchangia pesa kwa ajili ya kampeni za Mgombea Urais wa CCM
Ametajwa kama Miongoni mwa Wachangiaji Wakubwa.
Mungu Inusuru Tanzania
Alikuwa anamshughulikia ili ampatie mapesa , amekula hela zake Kala hela mafisadi wote kisha akawaachia .Dah! Kwa hiyo kipindi kile JPM alipokuwa anawashughulikia hawa jamaa, kumbe kuna watu ndani ccm hiyo hiyo walikuwa wana mzoom tu! Kwa hali hii bora niendelee tu kunywa pombe zangu za kienyeji huku kijijini. Siasa mbaki nayo nyinyi wenye mioyo ya unafiki.
Mungu ni wa Ajabu sana! kaamua kuanika mambo mapema sana!Hii nchi ji ya ajabu sana.
Kama kuna mtu bado anamdoubt Polepole basi atakuwa ana tatizo la akili.
Polepole kampeleka JK mafichoni.
By the way. Wahuni walioipiga photocopy serikali ndiyo hao Maponjoro.
Kwahy Ww hujawahi kulala, mana Ww hua unalalamika kila sikuUsiku unawezaje kuwa mwema kwa hali hii?
Umeandika nn hii wwTunamuombea mama aende vizuri mpaka 2030 ila baada ya hapo Kwa kweli aje mtu Fulani ambaye atakuwa wa wananchi wote
bi mkubwa ni kama Rais wa matajiri tu
Mwenzie kaokokaHatomsahau Magufuli mpaka anakufa huyu🤣🤣🤣
Mil 500,ni senti tu kwake.Hapa nami ndo nilikuwa napataka