mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
Wewe wenyewe muhuniTanganyika nchi yangu inaliwa na wahuni
Ungekuwa mzalendo ungechukua hatua kama Kenya
Nyumbu nyie tafuta chimbo ulambe asali tuu
Wewe wenyewe muhuniTanganyika nchi yangu inaliwa na wahuni
Chukueni hatuna kama KenyaMaana halisi ya "state capture" tishio kwa umma na manufaa kwa wachache hao!
Wewe hautick?Acha wa tick October
Tafuta chimbo ulambe asali MzeeSeth hakugawa ila yule Bilionea wa kihaya Mh Ruge aligawia hadi wanaparokia 😂
Wewe endelea kalalaWanamtandao wanarudi kwa kasi kula tena keki ya Taifa
Kumbe alilipwa, ndio maanaMil 500,ni senti tu kwake.
Kumbuka alilamba bil 300 huyu baada ya kuhenyeshwa na Magu.
HaiwezekaniArafu mnategemea CCM wakemee ufisadi
Kizimba kiliamua Kua ana kesi gani? Kosa gani alilokiri?
Magufuli alifeli sana kumteua sa100 kuwa makamu wake, ni dhahiri inaonekana wazi kabisa kuwa maadui na wahujumu wa Taifa hili walikuwa marafiki wa sa100, haiwezekani sa100 apokee pesa za wezi na mafisadi na wahujumu uchumi kwa ajili ya CCM alafu asijue anakuja kuwalipa vipi.View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
View attachment 3439522
View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
View attachment 3439522
Angeshakimbia hapo Magu angekuwepo,Kumbe alilipwa, ndio maana
Mbona hatujawahi ona ilitumika hata Sasa kama inaruhusiwa?
kuna ubaya akiwepo?View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
View attachment 3439522