GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3439412

Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu

View attachment 3439522
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Kwani mlijua sio mwenzao? Unafikiri kwa nini IPTL inakufa na kufufuka? Rip jiwe
 
Hii taarifa nimeikuta Twitter usingizi wote umegoma..!!
Mafisadi wote wamerudi aiseee..!!
Kweli tumerudi tena huku? 😥
Kikwete angesema tulichomkosea Watanzania tumuombe radhi kuliko hiki anachotufanyia.

Kifo chake kitakuwa ni sherehe nchi nzima kama ilivyofanyika kwa Job Ndugai.
Polepole alikuwa sahihi na bado yupo sahihi kumpinga huyu Mama anaipeleka nchi shimoni.

Ccm imeamuwa kuwakomesha Watanzania.
 
Huyu si ndie aligawa hela za mboga kwa Prof Tibaijuka, Chenge, na Askofu nani sijui!

Tatizo la wakristo ni kugombea Sadaka ndio mmaana huwa hawafichi wakipewa pesa ndio maana ilijulikana mpaka walipopewa lakni dini zote wakisipokemea hua wanapewa fedha sana na mitandao inayohusisha Ikulu .
.
Ndio maana Kanisa kwa wanasiasa wakitoa wakitoa michango kanisani zinawekwa wazi .
Lakni wale Bakwata wanagawiwaa matrilion ya pesa za kujenga misikiti nchi nzima na mafisadi papa wanakaa kimya na wale wengine wanapewa mmatrilioni ya kujifunza kareti na judo na mbinu za kukipua mabomu lakni kimya kimya. Na sasa kuna mtandoa uko Chini chini wa kujenga shule za awali za kiarabu nchi nzima ili bàadae somo la kiarabu liwe ni Compulsory kwa shule zote za msingi na sekondary .


Magufuli alibana pesa kila mahali za Ugaidi na ufisadi nchi ikawa salama .
Mafisadi ni manepari na Mabeberu.
Mabeberu wanaongozwa na
Marekani .Kazi za mabeberu sio kumwinua maskini kamwe bali ni kumtumia maskini kama mtumwa kukuza utajiri wake kwa gharama yoyote .
Mabeberu hawaoni shida kuanzisha Ugaidi popote kama ugaidi unalinda maslahi yao.
Mababeru hawaoni shida kugawa mabilioni kununua kura kwenye uchaguzi.

Mabeberu yanahonga ili yapewe rasilimali muhimu za nchi.

Watanzania hasa Wakristo wana wa ufalme wa Mungu wasiposimama na kupinga kwa nguvu zote huu uchaguzi wa kuwaweka mafusadi madarakani na watu wenye nia ya kuzuia sauti ya haki inayotolewa na kanisa . Mwaka huu huyu shetani akishinda basi kanisa lote duniani litaonekana kama kijiwe tu cha wauza tangawizi na halitaheshimuka milele katika Taifa hili huku kimya kimya mabilioni yakianza kutolewa kwa ajili ya kuhamisha Watanganyika wengi ikiwemo wahazabe katika ardhi yao ya asili.

Mkombozi wa Nchi hii kwa sasa ni nguvu ya kanisa kusimamia kesho ya wanadam waliowekwa katika Taifa hili .

Watu wanakufa hospitalini kwa kukosa pesa za matibabu ya Figo ,ini na kisukari na presha lakni watu wanatumia matrilioni ya pesa kujenga mtandao wa kifisadi kwenye mifumo ya kiutawala .

Wanajeshi na polisi na magereza wanamadeni kila mahali lakni hatujawahi kusikia wakichangiwa mabilion ili kuwawekea Mfuko maalumu wa kukopa ili wainuke kiuchumi bila kuumizwa na riba kubwa za mabenki zinazowafanya kuwa watumwa katika kazi zao na kutegemea rushwa kulliko kutoa huduma.

Kama Samia anategemea ushundi wa Kura za Haki sawa lakni kama anategemea Nguvu ya dola halafu anatumia Fedha nyingi kiasi hicho basi Watanganyika huyo mtu hatufai mpaka ahera .
Alaaniwe anapoingia na anapotoka


Lakni hao matajiri kama biashara zao zinajulikana wananchi waanze kuzisusia na kutafuta bidhaa au huduma kwa watu wasiofungamana na ufisadi .
 
Hii ni state capture idara ingilieni kati, Ili Vitu kuu vyetu vikute nchi Bado inakalika
 
Hii nchi imeshikwa na mafisadi, yaani ile kauli matajiri watalia km mashetani imekuwa kinyume
 
Kikwete angesema tulichomkosea Watanzania tumuombe radhi kuliko hiki anachotufanyia.

Kifo chake kitakuwa ni sherehe nchi nzima kama ilivyofanyika kwa Job Ndugai.
Polepole alikuwa sahihi na bado yupo sahihi kumpinga huyu Mama anaipeleka nchi shimoni.

Ccm imeamuwa kuwakomesha Watanzania.

Mkombozi aliyebaki pekee ni kanisa kusimama na kupinga huu uchaguzi wa kupangwa na watu wawili kwa mgongo wa dola .

Kikwete na Samia wanajimilikisha nchi kwa nguvu ya fedha.
Hawa watu wakifanikiwa nchi hii itaingia katika wakati mgumu sana sana kisiasa ,kijamii na kiuchumi .
Hakuna haja ya kuwa na huyu Rais Mgeni kutoka Oman hawazi kabisa deni la Taifa na kodi kubwa kwa wananchi wa hali ya chini.

Madereva wa magari wanalia
kwa sababu ya tozo nyingi ,faini nyingi ,latra , mafuta bei juu na pesa kidogo na manyanyaso toka kwa hao Matajiri wanaotoa mabilioni kumweka Samia madarakani .
Wafanyakazi wameongezewa mshahara usiolingana na hali halisi ya maisha pamoja na ukweli kuwa Tanzania ina wafanyakazi wachche sana hasa Tanganyika ukilinganisha na wingi wa watu na rasilmali na kodi kubwa zinazotozwa . Michongo mingi inaishia kwa mtandao wa mafisadi. Kuna mtu aliweka mpaka bomba la mafuta nyumbani kwake kutokea bandarini na kuwa anachota tu na kuuza . Huo ni mtandao wa wizi uko mpaka kwenye migumo ya kifedha lakni inahusisha hao mafisdi papa ndani ya CCM .
 
Back
Top Bottom