GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mashtaka aliyokua nayo ni uhujumu uchumi, na alikiri mbele ya mahakama, ikafanyika plea bargain na dpp mwakitalu, akalipa kiasi fulani na kutakiwa kumalizia kingine
Plea bargain ndiko wizi na dhuluma zilikokuwa zinafanyika kuwalazimiaha watu wakiri ila Kuna wengine walikataa Hadi mwisho.

Pili hakuna hata account ya hizo hela zilipigwa na circle ya Mwendazake na kujitajirisha.

Mwisho wa siku wote mliozulumu mtalipa.
 
Mkuu hapa nazungumzia wakati wa Samia na wakati wa dpp mpya mwakitalu ndio singasinga alikiti makosa na kulipa pesa, Wala haikua wakati wa magufuli
 
"Najua Kuna siku mtanikumbuka. Na mtanikumbuka kwa mema wala si kwa mabaya"
Mema yapi?!! Ya kuwachukia bila sababu wenye Hela?!!! Huo ni ushamba (in bongo zozo's voice).

Mwisho wa siku mshindi ni yule anayecheka mwishoni........na hucheka haswaa (he who laughs last laughs longer)
 
Mkuu hapa nazungumzia wakati wa Samia na wakati wa dpp mpya mwakitalu ndio singasinga alikiti makosa na kulipa pesa, Wala haikua wakati wa magufuli
Hakuna alipokiri makosa Samia aliwatoa baada Kwa sababu alijua hakuna kesi.

Plea bargain iliingizia Serikali kiasi gani? Unajua hizo hela zilikoishiaga?

Ule Utawala ulikuwa unadhukumu sana watu,Kabendera ameelezea vizuri Sana kwenye kitabu chake na jinsi walivyokuwa wanalazimishwa kukiri uongo Ili kumfurahisha Jiwe.

Mtapukutika mmja baada ya mwingine.Mwingine alimnyoma Lisu Hadi pesa ya Matibabu akidai hajui aliko nae kalamba udongo 😁😁
 
Mema yapi?!! Ya kuwachukia bila sababu wenye Hela?!!! Huo ni ushamba (in bongo zozo's voice).

Mwisho wa siku mshindi ni yule anayecheka mwishoni........na hucheka haswaa (he who laughs last laughs longer)
Saa hizi Singasinga liko high table linagongesha glass za mvinyo aghali ya Marseille! Teh.
 
Back
Top Bottom