komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Matajiri duniani kote hulinda Mali zao na heshima zao kwa kujipendekeza kwa mamlaka iliyopo. Elon Musk, ni mfano. Utawala ukibadilika nao wanabadilika kufuata upepo. Ni matapeli na hawachangii kukipenda chama chochote. Wanalinda maslahi yao tu.View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
View attachment 3439522
Yusuph manji namuonea huruma sana mpaka kesho duuh😂😂😂😂
Manji ndo hadi akafia huko marekani.
NdioView attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
View attachment 3439522
NdioView attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
View attachment 3439522
Huyu alitoweshwa na oct29Navalonge swela 😄
Jirani yangu zamani General Tyre
Aliambiwa wakati wa kula hatakiwi kuongea. Yupo zake Mbweni anakula Bata.Huyu alitoweshwa na oct29
Oops Sema KweliHuyu alitoweshwa na oct29
RIP MWAMBANavalonge swela 😄
Jirani yangu zamani General Tyre