Akili za kipuuzi hizi.Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?
Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively
Hili ndilo jibu la kifalsafa. Asante sana Mayalla. Mimi nimeelewa sana.Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P
Ingekua vema kama pia ungefaham chanzo cha pesa yake na ni akina nani wanapenyeza mpunga kwa siri kwenye kampuni. Ingekua vema kama ungetuambia kampuni ilianza mwaka gani ili tuoanishe muda na utajiri. Ingekua vema pia km ungeweza kufahamu uhusiano uliopo kati ya waziri fulani na Joseph Ngaleuya(ninafaham huo uhusiano mimi). Ukishindwa hayo, huna unalolijua, kaa kimya!!Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
Property By Joseph Didas Ngeleuya
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Hii old school hasa. Kizazi cha warabu na wahindi kumiliki busses kilishaisha kanda ya ziwa. Tukikumbuka zile Tanganyika bus, Bunda bus, Trans nk.Bunda Bus..... JARUF
We jamaa unauwezo mdogo wa kufikiri. Kila unachokiona kwenye maandishi yaweza kuwa hakipp hivyo. Ulitaka kuona jina la mh halafu ikifika mwanzoni mwa mwaka mjengoni spika akisema kila mh aandike Mali zake unataka awekwe wazi kuwa sio mkulima ? Tumia akili ya uendeshaji wa biashara nchini kwetu.Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
Property By Joseph Didas Ngeleuya
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Nchi ya maigizoBaada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
Property By Joseph Didas Ngeleuya
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Asante sana kwa mvua zinazoendelea, zitafukua mengi zaidi. Barabara zikiendelea kukatika, kuna uwezekano mkubwa wa Wadanganyika kuzinduka. Kama sisi wenyewe tumeshindwa kufukua makaburi ngoja tupate msaada wa el nino!"Watoto wa wakulima" usiamini kila neno wala utakachokiona wala mtu wala wewe mwenyewe ikibidi usijiamini. Hiyo ni hapa kwetu 4:9
wewe ni bwege sana, kwahiyo ulitaka mheshimiwa aweke jina lake hapoBaada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
Property By Joseph Didas Ngeleuya
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Zamani upandi Tanganyika bus au trans kama ujavaa vizuriHii old school hasa. Kizazi cha warabu na wahindi kumiliki busses kilishaisha kanda ya ziwa. Tukikumbuka zile Tanganyika bus, Bunda bus, Trans nk.
Na atshitakiwa tuNenda mahakamani kamshitaki Joseph Ngaleluya.
Over
Rejea andiko la Pascal Mayalla kuhusu Silent Partner (s)ndo utajua hakuna elements za wivu hapo!Umaskini utakuua
Mwigulu akimiliki wewe kinakuwasha nini?
Sifa ya mtu mwenye pepo la umaskini ni kushinda akiongelea matajiri negatively
Hapahitajiki nabii kukujua kuwa wewe lofa ambaye umepigika kimaisha choka mbaya wewe
Nenda kwa Mwamposya akalikemee hilo pepo lako la umaskini likutoke
Matajiri wengine wana act Kama utingo au dereva 🤔 huwezi kudhania! akili za kuambiwa unachanganya na zakoBaada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali.
Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu kijana Mpambanaji wa siku nyingi katika biashara ya Mabasi, anamiliki Mabasi aina mbalimbali zikiwemo basi hizi zilizokuwa zikihusishwa na Mwanasiasa mmoja hapa nchini.
Mmliki ni Ndugu Joseph Didas Ngeleuya, P.O. Box 71392, Dar es Salaam. 4463. Plot No. 746
Case Closed. Tuache kuzusha mambo.
Property By Joseph Didas Ngeleuya
View attachment 2459930View attachment 2459931View attachment 2459932View attachment 2459933
Hahaha akileta source niamshe nimekaa paleeeeeMkuu zanku , kwanza Hakuna kosa lolote kisheria mtu yoyote kuwa a silent partner kwenye biashara yoyote, as long as hizo fedha za mtaji ni fedha halali!.
Pili asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.
P