TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Ndio maana siku kadhaa usafiri ulianza kulega lega kumbe jamaa alikuwa anajiuguza tu. Sijui itakuwaje lakini urithi ukishagawiwa.
akishaondoka mmiliki/muanzilishi wa biashara flani

kama hakua na partner hizo biashara mara nyingi hufa

Mfano Clouds Fm inadunda kwasababu kuna kusaga

ila
angekuaga n Ruge peke ake Clouds tungeshaisahau.

Pona ya Marangu ni kama tu ile kampuni ilikua na Vichwa viwili

ila kama kichwa kilikua ni cha Mr.Marangu tu,daah hapo sijui asee maana.
 
anaitwa MAX MOSHI
MCHAGGA WA MARANGU .
kuzaliwa 1977
Shule :Chuo Kikuu Birmigham Uingereza
Huyo binti pembeni ni wake alikuwa anaolewa.
ana Mabasi 12 ya Marangu coach,
Ana biashara zingine za usafirishaji Marekani,
Ni tajiri wa Kipato cha Kati, hayupo kwa matajiri wakubwa.

aliamua kuanza biashara ya Magari kumuenzi Baba yake aliykuwa na Mabasi miaka ya 1970 huko Marangu
Mtu wa mwaka 77 tayari ameshaozesha? Alimzaa akiwa na umri gani?

Haijaniingia akilini hasa ukizingatia pia alikwenda chuoni pia..
 
Mtu wa mwaka 77 tayari ameshaozesha? Alimzaa akiwa na umri gani?

Haijaniingia akilini hasa ukizingatia pia alikwenda chuoni pia..
97 alikuwa na mtoto wa kike, 2019 mtoto kamaliza chuo Ulaya karudi kuolewa:
Unafikir amesoma chuo cha kata kama wewe huko "Hope University " iringa na kwengineko?
Kama unafikir elimu ni ghali jaribu ujinga, wao walijaribu elimu.
 
Uko sahihi sana wala usihangaike kujitetea..referal aghakhan...rehency to muhi2 zipooo.
Pole kama nimekukwaza, ilà nimeandika kutokana na experience za watu wengi. When the case is beyond their reach, the patient is transferred to MNH. Hata Rabininsia wanafanya hivyo. Sichafui na wala siwezi kuchafua biashara zao kwa kuandika hivi.
 
Kama unagombana na ID humu na kwa mambo madogo yakurekebishana...

Hata ubishe ila Wewe kwenye vikao vya familia na kwenye misiba ndio wa kwanza kuharibu mambo....

Marehemu wa kibongo wana mtihani sana, umetulia zako kusubiri ubongo ukate network, unasikia ndugu wanagombania mali, mwisho wa siku una mind, halafu wanajiuliza mbona marehemu kakasirika ghafla?.

Mimi lazima nikusubirie pale keepleft cha Mbinguni na motoni, hukatizi miguu yako, wewe ni pipani na moto nachochea mwenyewe.... Shwain
 
Back
Top Bottom