jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Kwa matendo anayoyafanya ni dhahiri kajichimbia na hayuko tayari kufa.unalaana ya wazazi ko wewew
Chato eapoti amuachie nani?
Yale matraffic light amuachie nani?
Madege amuachie nani?
Libwawa la maumeme amuachie nani?
Li reli la sgr amuachie nani?
Magufuli hatakufa.