TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

R.I.P na pole kwa familia. Mungu amponye mkewe walau aendeleze utajiri.
Mungu amuweke panapostahili. utajiri una siri kubwa mno!! nadhani niliwahi kumuona huyu jamaa pale Ngwaranecha!

mke ni mshauri na mtumiaji tu mara nyingi hapa naona unampa kazi ngumu asiyoiweza! watoto sawa!
 
We kaka punguza uongo.

Vitu vingine kama huvijui vizuri ni bora ukakaa kimya.
Pole kama nimekukwaza, ilà nimeandika kutokana na experience za watu wengi. When the case is beyond their reach, the patient is transferred to MNH. Hata Rabininsia wanafanya hivyo. Sichafui na wala siwezi kuchafua biashara zao kwa kuandika hivi.
 
Yani amezaliwa 1977?
Halafu kwa Mwanaume kuwa na mtoto mkubwa hivyo ktk umri huo?!
Huenda wamekosea huo Mwaka!
Mkuu mtu wa 1977 ana miaka 43, mbona kama huyo bint ni mkubwa tena umeandika alikua anaolewa anyway.

Apumzike panapo stahili..!
Sasa wakuu nijuavyo, watu husema kukosea mwaka kwa kuangalia Muonekano na Miaka ya Mtu... Yaani unakuta haviendani.

Kwa Muonekano huo, Kwa miaka 43, Mi naona ni sawa kabisa, tena mtu na pesa zake za kujitunza.
Vitu vingine havidanganyiki, Kinyume na hapo labda useme picha Sio yake.

Umri unamtaja kama kijana...
Muonekano nao unathibitisha..

Au mnataka awe kama Polepole?
 
Kweli going too soon.

Was a good man.

Hapo ndo mwisho wa familia.
 
Hyo picha ya suti ya harusi anaonekana mzee mbona zaidi ya 43 au unene
Sasa wakuu nijuavyo, watu husema kukosea mwaka kwa kuangalia Muonekano na Miaka ya Mtu... Yaani unakuta haviendani.

Kwa Muonekano huo, Kwa miaka 43, Mi naona ni sawa kabisa, tena mtu na pesa zake za kujitunza.
Vitu vingine havidanganyiki, Kinyume na hapo labda useme picha Sio yake.

Umri unamtaja kama kijana...
Muonekano nao unathibitisha..

Au mnataka awe kama Polepole?
 
kwa kweli hili ni pigo kubwa sana kwa familia, mungu aipe nguv familia ya marehemu hao
 
Back
Top Bottom