tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
huyo marehemu ndiyo wewe nin?We mata.o unadhani watu wote wakikopa wanashindwa kurejesha kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo marehemu ndiyo wewe nin?We mata.o unadhani watu wote wakikopa wanashindwa kurejesha kama wewe
bilionea msuya ni wa kanda ipi mkuu?unajua mgogoro wa mali ulivyoigharimu ile familia?Kanda hiyo hawagombei wala hawapori Mali za Ndugu. Mali ni za Mke na Watoto. Kila Mtu huko hutoka kwenda kutafuta Chake.
Usichokijua ni kuwa agha khan wanashindwa kesi nyingi mno, halafu wanazitupia muhimbili ili mgonjwa afie huko.
R.I.PMmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia usiku wa kuamkia leo Agakhan Hospital. Rest in Peace tajiri wa Marangu
Mungu amuweke panapostahili. utajiri una siri kubwa mno!! nadhani niliwahi kumuona huyu jamaa pale Ngwaranecha!R.I.P na pole kwa familia. Mungu amponye mkewe walau aendeleze utajiri.
Pole kama nimekukwaza, ilà nimeandika kutokana na experience za watu wengi. When the case is beyond their reach, the patient is transferred to MNH. Hata Rabininsia wanafanya hivyo. Sichafui na wala siwezi kuchafua biashara zao kwa kuandika hivi.We kaka punguza uongo.
Vitu vingine kama huvijui vizuri ni bora ukakaa kimya.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] kweli mkuu hata sio utani
Usipokuwa na future mara paaap 105 ileee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kwa msuya kuna tofauti sababu mke anatuhumiwa kuhusika. Ila ukweli hili kabila halinaga mambo ya kupokonyana mali kwa kiasi kikubwabilionea msuya ni wa kanda ipi mkuu?unajua mgogoro wa mali ulivyoigharimu ile familia?
Yani amezaliwa 1977?
Halafu kwa Mwanaume kuwa na mtoto mkubwa hivyo ktk umri huo?!
Huenda wamekosea huo Mwaka!
Sasa wakuu nijuavyo, watu husema kukosea mwaka kwa kuangalia Muonekano na Miaka ya Mtu... Yaani unakuta haviendani.Mkuu mtu wa 1977 ana miaka 43, mbona kama huyo bint ni mkubwa tena umeandika alikua anaolewa anyway.
Apumzike panapo stahili..!
Sasa wakuu nijuavyo, watu husema kukosea mwaka kwa kuangalia Muonekano na Miaka ya Mtu... Yaani unakuta haviendani.
Kwa Muonekano huo, Kwa miaka 43, Mi naona ni sawa kabisa, tena mtu na pesa zake za kujitunza.
Vitu vingine havidanganyiki, Kinyume na hapo labda useme picha Sio yake.
Umri unamtaja kama kijana...
Muonekano nao unathibitisha..
Au mnataka awe kama Polepole?
Hayo ya kuolewa sidhani. Uyo binti ni mdogo. Mwili tuMkuu mtu wa 1977 ana miaka 43, mbona kama huyo bint ni mkubwa tena umeandika alikua anaolewa anyway.
Apumzike panapo stahili..!
Tetesi mke wa mmiliki wa Marangu Coach ameaga dunia asubuhi hii
Daaaah!!!!Tetesi mke wa mmiliki wa Marangu Coach ameaga dunia asubuhi hii