TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Kama Ana biashara marekani,huyo Ni tajiri
anaitwa MAX MOSHI
MCHAGGA WA MARANGU .
kuzaliwa 1977
Shule :Chuo Kikuu Birmigham Uingereza
Huyo binti pembeni ni wake alikuwa anaolewa.
ana Mabasi 12 ya Marangu coach,
Ana biashara zingine za usafirishaji Marekani,
Ni tajiri wa Kipato cha Kati, hayupo kwa matajiri wakubwa.

aliamua kuanza biashara ya Magari kumuenzi Baba yake aliykuwa na Mabasi miaka ya 1970 huko Marangu
 
R.i.p
Ukishaitwa Tajiri ktk familia zetu za kiafrika,

siku ukifa UNAACHA VITA Kali Sana ya kugombea mali ulzotafta kwa jasho lako.
Vita hio hua kubwa sana haswa kwa ndugu zetu wa kanda ile maana wao wana uchu wa mali sana
 
anaitwa MAX MOSHI
MCHAGGA WA MARANGU .
kuzaliwa 1977
Shule :Chuo Kikuu Birmigham Uingereza
Huyo binti pembeni ni wake alikuwa anaolewa.
ana Mabasi 12 ya Marangu coach,
Ana biashara zingine za usafirishaji Marekani,
Ni tajiri wa Kipato cha Kati, hayupo kwa matajiri wakubwa.

aliamua kuanza biashara ya Magari kumuenzi Baba yake aliykuwa na Mabasi miaka ya 1970 huko Marangu
Mkuu mtu wa 1977 ana miaka 43, mbona kama huyo bint ni mkubwa tena umeandika alikua anaolewa anyway.

Apumzike panapo stahili..!
 
Shida ni nini..? Siyo pumzi kubana kweli....?
 
Kwani alikuwa hawezi kuhema na mbavu zilikuwa zina' mbana?
Yule mama aliyeko ICU ni mkewe? ambaye naye ana shida ya kupumua?
Watoto wake mbavu si zilisha achia?

Kama una Kebehi vile? There is 100% equal chances ungekuwa wewe
 
Wengine wanafanya siasa kwenye issue za maisha ya watu. Watu wa nchi hii kama Wana laana fulani
 
Huko mbinguni atakutana na washua wenzake tu

kIongOzI Wa BaaDae
 
Kama una Kebehi vile? There is 100% equal chances ungekuwa wewe
Kiswahili hujui , kisukuma hujui, kebehi yes, kwa serikali yako inayosema wagonjwa wamebaki wanne , na ndiyo maana sijataja jina la ugonjwa ila dalil zake.
wewe ulitaka niandike vipi?kiandike wewe
 
Back
Top Bottom