TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Mtoto mrembo kinoma tunaweza kuwahi tukapata jiko pale....
Wewe tu na mahari ya kichagga ndogo tu, ila na wewe uwe smart kichwani na familia yenu, si umetoka kwenye familia ya kiswahili kama ya Kina diamond na Ali kiba, wengi wa wachaga wastaarabu sana ndio maana huwezi sikia kashfa hata kama mzuri kiasi gani
 
RIP....nini shida? Respiratory challenges?
 
Wakuu ebu tuwe wazi hv korona ipo ama imekwisha mm nipo katikati sielewi kabisa!!?
Ndugu yangu Corona ipo tena ipo sana.
Boss hapo inaelezwa kuwa imemlaza chini.
Tuombe sana Mungu ili mkewe apate nafuu, maana taarifa zinasema hali yake ni tete pia pale Aga Khan hospitali, COVID iligonga familia ya boss haswaa.

Tuendelee kuchukua tahadhari zote.
 
Duh ampumzike kwa amani Marangu, get well soon mama Marangu!
Tuendelee kuchukua tahadhari, corona is real!
 
Back
Top Bottom