TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

anaitwa MAX MOSHI
MCHAGGA WA MARANGU .
kuzaliwa 1977
Shule :Chuo Kikuu Birmigham Uingereza
Huyo binti pembeni ni wake alikuwa anaolewa.
ana Mabasi 12 ya Marangu coach,
Ana biashara zingine za usafirishaji Marekani,
Ni tajiri wa Kipato cha Kati, hayupo kwa matajiri wakubwa.

aliamua kuanza biashara ya Magari kumuenzi Baba yake aliykuwa na Mabasi miaka ya 1970 huko Marangu
Binti bado yupo sec mkuu hyo ilikuwa siku ya harusi ya ndugu, bt bint na hyo kaka yake bado wako sec ingawa shule yao wanatumia silabus ya majuu.
 
anaitwa MAX MOSHI
MCHAGGA WA MARANGU .
kuzaliwa 1977
Shule :Chuo Kikuu Birmigham Uingereza
Huyo binti pembeni ni wake alikuwa anaolewa.
ana Mabasi 12 ya Marangu coach,
Ana biashara zingine za usafirishaji Marekani,
Ni tajiri wa Kipato cha Kati, hayupo kwa matajiri wakubwa.

aliamua kuanza biashara ya Magari kumuenzi Baba yake aliykuwa na Mabasi miaka ya 1970 huko Marangu
Yaonekana unawafaham kwa ukaribu mkuu, Mungu ampe pumziko jema, watoto wake ni nechi na necha.
 
Wakuu ebu tuwe wazi hv korona ipo ama imekwisha mm nipo katikati sielewi kabisa!!?
 
Back
Top Bottom