TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Dah..tajiri wa paka mweusi kaenda aisee..
 
Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia usiku wa kuamkia leo Agakhan Hospital. Rest in Peace tajiri wa Marangu

Rip mjasiria mali wa mfano.

Watu wana matatizo, huyu mrehemu akiitwa nani?
Alikuwa anakaa wapi?
Ana mabasi mangapi?

Na je tuna kitu gani cha kujifunza kwake?

Hivi ndivyo tunatakiwa kumuenzi mtu ambaye ni mfano chanya katika jamii.
 
anaitwa MAX MOSHI
MCHAGGA WA MARANGU .
kuzaliwa 1977
Shule :Chuo Kikuu Birmigham Uingereza
Huyo binti pembeni ni wake alikuwa anaolewa.
ana Mabasi 12 ya Marangu coach,
Ana biashara zingine za usafirishaji Marekani,
Ni tajiri wa Kipato cha Kati, hayupo kwa matajiri wakubwa.

aliamua kuanza biashara ya Magari kumuenzi Baba yake aliykuwa na Mabasi miaka ya 1970 huko Marangu
 
Nini kimekatisha uhai wake?
 
Back
Top Bottom