TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

anaitwa MAX MOSHI
MCHAGGA WA MARANGU .
kuzaliwa 1977
Shule :Chuo Kikuu Birmigham Uingereza
Huyo binti pembeni ni wake alikuwa anaolewa.
ana Mabasi 12 ya Marangu coach,
Ana biashara zingine za usafirishaji Marekani,
Ni tajiri wa Kipato cha Kati, hayupo kwa matajiri wakubwa.

aliamua kuanza biashara ya Magari kumuenzi Baba yake aliykuwa na Mabasi miaka ya 1970 huko Marangu
Ndomaana mabasi yake mbele yameandikwa 1915-2015, inamaanisha mzee wake aliishi miaka 100
 
Apumzike kwa Amani.Mungu asaidie awe kaacha wosia.Kinyume na hapo Mungu akasimame Kati ya ndugu waliobaki.
 
Back
Top Bottom