TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Acha kufananisha ndege na mkusanyiko wa mabati na injini pamoja unaoendeshwa na deiwaka asiyepitia mafunzo. Inaonekana hujawahi kupanda ndege.
Hahahah kwamba ndege engine yake mnaiacha Airport mkianza kupaa? Au zile insulation na cosmetics za ndani ya ndege ndio zinakutoa akili mkuu?
Ndege mie nilishapanda nadhani kabla hata ya wewe hujapata akili vizuri.
 
Samahani naomba kuuliza! Zile Kampuni mbili zilizosemwa na mh DC kung'oa reli ni pamoja na hii Marangu Coach?
 
Apumzike kwa amani.
Ila huyu Baba hana jina kweli? Nimepitia habari nyingi wanaandika Mmiliki wa mabasi ya Marangu.
 
Back
Top Bottom