miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
AmenMungu amjalie afya njema,na uponyaji wa haraka.
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenMungu amjalie afya njema,na uponyaji wa haraka.
Namjua sana plus baadhi ya ndugu zakeMkuu unamfahamu huyu baba?
Eti ana biashara marekani? Na mke wake kweli amekufa?Namjua sana plus baadhi ya ndugu zake
Hahahah kwamba ndege engine yake mnaiacha Airport mkianza kupaa? Au zile insulation na cosmetics za ndani ya ndege ndio zinakutoa akili mkuu?Acha kufananisha ndege na mkusanyiko wa mabati na injini pamoja unaoendeshwa na deiwaka asiyepitia mafunzo. Inaonekana hujawahi kupanda ndege.
Mkewe yu hai,marehemu alikua na biashara ya malori ya mchanga kabla ya mabasiEti ana biashara marekani? Na mke wake kweli amekufa?
Mwangwair alikuwa wa 1982 na angekuwa hai angekuwa na wajukuu wawili.Hawezi kuwa amezaliwa 1977 halafu awe na mtoto mkubwa namna ile.
Ile Pale juu ya Mwamba?alitupa matumain vijana kuwa hela inaweza jenga popote wanaojua nyumba yake ya marangu watakuwa wanaelewa
Ili uje kuwa tajiriMatajiri wanakufa sisi masikini tuendelea kupigikaa na maisha!
Why!???
Au ww ndio mama mwenyewe...Mama yupo hai tunaendelea vizuri hospital na soon anaweza kutoka kurudi nyumbani
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Ukitaka ufe haraka miliki bus fuso na shule
KumbeSamahani naomba kuuliza! Zile Kampuni mbili zilizosemwa na mh DC kung'oa reli ni pamoja na hii Marangu Coach?
Habari iko nusu nusu mnaandika kama mnakimbizwa
Kuna tatizo kubwa la kuelewa hapa.Ulitaka akupe na ratiba ya chakula cha mchana....? haya SAA 7 kamili kuna wali nyama kwa waombelezaji.....
Fafanua kidogo vinauaje haraka?Ukitaka ufe haraka miliki bus fuso na shule
Khaa...tenaFafanua kidogo vinauaje haraka?
Hahahaa.....Hatuna mashine ya kupimia coronani kupumua tu hakuna kingine