TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Inna lillah wainah illahi rajiun......Kila nafsi ni yenye kufa,Muhimu tujiandae tu ndugu zanguni
 
Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia usiku wa kuamkia leo Agakhan Hospital. Rest in Peace tajiri wa Marangu

Hii PISI iliyosimama upande wa kulia nimeielewa sana
Wakulungwa naombeni msaada niweze kumpata, kwa yeyote anayemfaham naomba tuwasiliane. Donge nono litatolewa kwa yeyote atayefanikisha kupatikana kwa iyo PISI
Anyway R.I.P Boss wa Marangu Coach
 
Hata mke wake anapulia mashine hatambui kama mume wake kafariki
 
Back
Top Bottom