TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke afariki dunia

kingsang664

New Member
Joined
Jan 21, 2024
Posts
2
Reaction score
18
Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke yanayofanya usafirishaji kutokea Njombe kwenda Iringa na Njombe kwenda Mbeya (Mwendamseke safaris) afariki dunia siku Alhamisi na kuzikwa siku ya Jumapili

Sisi kama WanaJF tunatoa pole kwa wote walioguswa na msiba huo. Mungu ametoa na Mungu ametwaa ameen.
 

Poleni sana kwa msiba. Kwa huu urefu, atakuwa mkinga. RIEP Mfanyabiashara wa mabasi. Mbele yetu, sisi twaja nyuma mdogo mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…