Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malangali mwaka gani? maana enzi zetu ilikuwa hakuna basi zaidi ya mkombozi tu nalo linakuja jioni na kusepa asubuhi na likisepa linalala town mpaka kesho yake dah enzi ile balaa tupu. Nimemaliza A level mwaka 99 pale ndio waanzilishi wa A level.Inanikumbusha kipindi cha likizo pale Malangali, Mwendamseke ndio ulikuwa usafiri wetu ile unamaliza pepa kitu kinanguruma hapo mjini state
Apumzike kwa amani
Umeumaliza mwendo Papaa, pumziko la milele.Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke yanayofanya usafirishaji kutokea Njombe kwenda Iringa na Njombe kwenda Mbeya (Mwendamseke safaris) afariki dunia siku Alhamisi na kuzikwa siku ya Jumapili
Sisi kama WanaJF tunatoa pole kwa wote walioguswa na msiba huo. Mungu ametoa na Mungu ametwaa ameen.
View attachment 3156001
R.I.P gentleman 🤭Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke yanayofanya usafirishaji kutokea Njombe kwenda Iringa na Njombe kwenda Mbeya (Mwendamseke safaris) afariki dunia siku Alhamisi na kuzikwa siku ya Jumapili
Sisi kama WanaJF tunatoa pole kwa wote walioguswa na msiba huo. Mungu ametoa na Mungu ametwaa ameen.
View attachment 3156001
Ndagu?.Daaaah alaumiwe Jogoo kwa kula punje chache kmmqe
Hongera mkuu, mimi ilikuwa intake ya 2014 wakati huo mkuu alikuwa mzee Ngunyali sijui asaivi ni naniMalangali mwaka gani? maana enzi zetu ilikuwa hakuna basi zaidi ya mkombozi tu nalo linakuja jioni na kusepa asubuhi na likisepa linalala town mpaka kesho yake dah enzi ile balaa tupu. Nimemaliza A level mwaka 99 pale ndio waanzilishi wa A level.
Mnyalukolo ni nini?Pumzika kwa Amani mnyalukolo
Acha tu jogoo ni msengerema sana,anajifanya kashiba etiNdagu?.