TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke afariki dunia

TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke afariki dunia

Mali si chochote bali ni mapambo ya dunia tu...Ona jamaa kafariki na kuacha mali zake wakizigombea watu wengine.

Matendo mema ndio yenye kubaki. Kama umejaaliwa mali nenda sehemu watu wanashida za maji wachimbie visima, saidia mayatima,wajane,wagonjwa,wasafiri, mafukara ili ujiwekee akiba huko uendako.
Na alikuwa na mjengo matata pale Maka, duh niliuona..duh kauacha??? Kweli dunia tunapita na tunaacha kila kitu
 
Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke yanayofanya usafirishaji kutokea Njombe kwenda Iringa na Njombe kwenda Mbeya (Mwendamseke safaris) afariki dunia siku Alhamisi na kuzikwa siku ya Jumapili

Sisi kama WanaJF tunatoa pole kwa wote walioguswa na msiba huo. Mungu ametoa na Mungu ametwaa ameen.
View attachment 3156001
Sijui kwanini hawafiki uzeeni
 
Sijui kwanini hawafiki uzeeni
Mkuu umewaza kweli!! Kijana akishapata mafanikio makubwa sijui ni starehe au uadui au uzembe huongezeka!! Wanajisahau..au shortcut effects..yani kufanikiwa mapema kuna unasaba na kufa mapema..japo sio kwa wote..ila wapo pia wanaishi mda ila mzee wao wengiwao wanakuwa tena choka mbaya..inabaki alikuwaga enzi zake..ila akina sie kila siku bora ya jana..haaah
 
ℎ𝑖𝑣𝑖 ℎ𝑖𝑧𝑖 𝐼𝑚𝑎𝑛𝑖 𝑠𝑖𝑗𝑢𝑖 𝑧𝑎 𝐽𝑜𝑔𝑜𝑜 𝑛𝑖 ℎ𝑎𝑙𝑖𝑠𝑖?
 
Dahhh.....
R.i.P Classmate, ilikua ghafla sana....😥
 
Back
Top Bottom