TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke afariki dunia

Inanikumbusha kipindi cha likizo pale Malangali, Mwendamseke ndio ulikuwa usafiri wetu ile unamaliza pepa kitu kinanguruma hapo mjini state

Apumzike kwa amani
Malangali mwaka gani? maana enzi zetu ilikuwa hakuna basi zaidi ya mkombozi tu nalo linakuja jioni na kusepa asubuhi na likisepa linalala town mpaka kesho yake dah enzi ile balaa tupu. Nimemaliza A level mwaka 99 pale ndio waanzilishi wa A level.
 
Umeumaliza mwendo Papaa, pumziko la milele.
 
R.I.P gentleman 🤭
 
Malangali mwaka gani? maana enzi zetu ilikuwa hakuna basi zaidi ya mkombozi tu nalo linakuja jioni na kusepa asubuhi na likisepa linalala town mpaka kesho yake dah enzi ile balaa tupu. Nimemaliza A level mwaka 99 pale ndio waanzilishi wa A level.
Hongera mkuu, mimi ilikuwa intake ya 2014 wakati huo mkuu alikuwa mzee Ngunyali sijui asaivi ni nani
 
Moja kati ya matajiri wa Nyanda za Juu Kusini ambao walifaidi matunda ya utajiri wao, basi na huyu jamaa hakosi. Kiufupi alikuwa ni mtu wa bata sana. Na akifika bar na jamaa zake, ilikuwa ni kawaida sana kuwagundua. Maana fujo ziilikuwa ni nyingi sana.

Rest in peace Comrade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…