TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke afariki dunia

Pole sana ndugu, jamaa, marfiki na abiria wa Mwendamseke. RIP Mwendamseke.
 
Mali si chochote bali ni mapambo ya dunia tu...Ona jamaa kafariki na kuacha mali zake wakizigombea watu wengine.

Matendo mema ndio yenye kubaki. Kama umejaaliwa mali nenda sehemu watu wanashida za maji wachimbie visima, saidia mayatima,wajane,wagonjwa,wasafiri, mafukara ili ujiwekee akiba huko uendako.
 
Hilo jina mhh
 
Atakufa alhamis na kuzikwa j2? Au sijafahamu?
 
punje zilikuwa chache

JESUS is Lord
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…