TANZIA Mmiliki wa Mabasi Ya Tavavili Afariki Dunia

Marehemu baba yangu aliniasa nisije miliki chombo cha abiria nitakufa kwa Bp na sukari na niliona jinsi alivyokuwa akipambana na madereva hadi nilipomshauri auze zile gari ilikuwa majanga mara hiki mara kile mzee PB, sukari da! Rip baba yangu
 
Yalikua ya Songea to Dom na Songea- Dar ila karibuni kampuni ilikua imesitisha huduma ya usafirishaji sikufatilia sababu lakin ilikua ni kampuni nzuri sana.
Hizo gari zilikua zimeishawashinda toka mwanzo. Bado zipo sokon kuuzwa hazipati wateja. Ila naona Best line amenunua bahadhi anaanzisha root ya Dar to Musoma akapambane na Kaprocon [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…