TANZIA Mmiliki wa Mabasi Ya Tavavili Afariki Dunia

Dah zilikua basi nzuri ila naona walikua na changamoto ya management, nilipanda Njombe kwenda Dodoma likaisha Mafuta 30km kabla ya kufika Dodoma. Siku nyingine likafia mwanzoni mwa Iringa ikabidi tufaulishwe....nilipanda haya mabasi mara tatu hadi sasa na siku zote yalikua na changamoto. Anyway pumzika kwa Amani Mzee Komba
 
Biashara ya usafirishaji hasa mabasi bado ni changamoto, wengi wanakuja kwa kasi na kupotea.

Management za Abood na Shabiby ziko vizuri sana, hawa jamaa wanastahili pongezi. Kwa sasa ndio kampuni kongwe kwenye usafirishaji ambazo hazijawahi kutetereka kwenye utoaji wa huduma.
 
Ni wazi kabisa
 
Shida kubwa nyingine alikua na bus chache yan ile tupa geuka asubúhi yake, mwanzoni alianza vizuri sana sababu gari zake zilikua na huduma nzuri sana ila hazikudumu sana zimepotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…