Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
pole kwa wafiwa,tavavili manake wapo wawili.Wakuu Mmiliki wa Mabasi ya Tavavili Ndugu Max Komba Amefariki Dunia Jana usiku.
.
Bwana Komba alikuwa anasumbuliwa na Kisukari Kwa Mda Mrefu.
.
Bwana Ametoa na Bwana ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe View attachment 2386935
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi ni kweli haujui?Hebu acha utani.Hakuna tajiri nimewahi kusikia ana afya imara, yaani ni kisukari,ugonjwa WA moyo n.k, WHY??
YesShida kubwa nyingine alikua na bus chache yan ile tupa geuka asubúhi yake, mwanzoni alianza vizuri sana sababu gari zake zilikua na huduma nzuri sana ila hazikudumu sana zimepotea.
Ukiingia kwenye biashara yoyote bila uwezo na mikakati lazima upate wakati mgumu. Wewe unaona mtu anamiliki magari, hufanyi utafiti, huna uwezo, huna mikakati unakimbilia kuiga ukidhani mwenzako anafaidi, kwa nini usipate stress? Inaelekea baba yako hakujiandaa na akadhani biashara ya magari iko hivyo kwa wote.Marehemu baba yangu aliniasa nisije miliki chombo cha abiria nitakufa kwa Bp na sukari na niliona jinsi alivyokuwa akipambana na madereva hadi nilipomshauri auze zile gari ilikuwa majanga mara hiki mara kile mzee PB, sukari da! Rip baba yangu
Are you kidding me? Huku ndiko tunaita kujiliwaza mwenyewe kwa sababu umeona uwezo huna. Sizitaki mbichi hizi.... Ndugu yangu ungejua mafukara wanavyosumbuliwa na kufa kwa magonjwa! Ni hivi: Fukara akifa siyo habari, na mtaa wa pili pengine hawatajua lolote. Lakini tajiri akiugua au kufariki, ni habari. Hivi unadhani huyu mwenye magari angekuwa mchuuzi wa nyanya chungu ungefahamu?Hakuna tajiri nimewahi kusikia ana afya imara, yaani ni kisukari,ugonjwa WA moyo n.k, WHY??
Wanakuwa na access ya vitu vyote hatarishiHakuna tajiri nimewahi kusikia ana afya imara, yaani ni kisukari,ugonjwa WA moyo n.k, WHY??
Naamini NakahegwaHope msiba utakuwa Mbinga,tupeane update utakuwa sehemu gani.
Dar kwenda Songea..ndio ninavyojua nilipanda magari yao kipindi flan hv.Tavavili ni mabasi ya kutoka mkoa gan kwenda mkoa upi?
Aisee hata mimi kuna wakati niliwahi kumiliki ka gari kamoja tu ka biashara! Nakumbuka moyo ulikuwa unaenda mbio muda wote! Kwa bahati mbaya sana nilipata dereva mwehu! Yaani ilikuwa ukiona namba yake tu akipiga, presha inapanda juu!Marehemu baba yangu aliniasa nisije miliki chombo cha abiria nitakufa kwa Bp na sukari na niliona jinsi alivyokuwa akipambana na madereva hadi nilipomshauri auze zile gari ilikuwa majanga mara hiki mara kile mzee PB, sukari da! Rip baba yangu
Mnamsingizia msigwa jamani[emoji16]Kufanya biashara moja na mkinga/wakinga kutoboa ni ngumu sana
OooohNaamini Nakahegwa